TUKUMBUSHANE TULIO TAILI POLINI.

TUKUMBUSHANE TULIO TAILI POLINI.

chumanile

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
300
Reaction score
342
Imani yangu tuko wazima.nikirudisha kumbukumbu nyuma miaka 36 iliopita,naikumbuka siku nilio katwa govi(kutailiwa)siku hii sito isahau kwa kweli.asabuhi niliona watu wengi nyumbani,niliuliza naambiwa kuna sherahe.hivyo basi uta chinjiwa kuku,utakula madafu nk.siku jari niliendele kutia fujo, kupiga kilele za hapa na pale,uku nimefungu shuka rubega.nikiomba kuvaa nguo zangu nakatazwa mpaka nionge...aaaah.
Ghafla msafara unaelekea porini nakamatwa na bebwa,nikaaza kutishiwa,nyuki hao jifiche USO. Nikiwa nakalibia kwenye kichaka,nasikia kelele mtoto analia,na muuliza alio nibeba anajibu subiri zamu yako eeeh.dk5 hazija fika nasikia sauti kubwa ikisema MSHUSHE NA HUYO..BABA fasta kanishusha,kabla cja fika chini nimeshikwa ile kisawasa..dk3 damu hiyo nimekatwa govi niliumia sana maumivi makali kuliko kawaida.KIUKWELI TULIO TAILIWA POLINI NI MAJASIRI..NA WALA HATUITAJI MKUYATI KTK TENDO.
pia kunautofauti mkubwa sana kati tulio taili porina na hospitari.
 
NALIA NGWENA
miaka mingi sana ngoja nikukumbushe...karinjobwe,karinjobwe kaguru kamoja karinjobwe...NGARIBA HUYO
 
Mimi pia nilitahiriwa porini ila sisi mtu akitahiriwa KAMWE huwezi kusikia hizo kelele za wanaotahiriwa eti wanalia.

Sisi hata kujitingisha tu ni umeshalia tayari na hivyo si Mwanaume kamili.

Unatahiriwa huku ukingata meno haswa...na baada ya hapo unatembea mwenyewe hadi getho sio unabebwa.
 
una umri zaidi ya 40 hujui kuandika!
 
1997 hyo ndio nlikatwa gov baada ya kubanwa na zipu asubhi nlipkkuwa naenda skul so pale pale libabu limoja likaja na mkisu wake likaumaliza mchezo chaaap
 
Pumbavu ww.....Tuliambiwa usiseme jando na ww leo wasema.....
We ujaenda jandoni unawezaje kutusi MTU? endelea kuuna huo mkono wa steta mpaka....[emoji23] [emoji23]
 
Aisee ilikuwa sio pouwa but siwez sahau kitu no ganz ngaliba Ana fanya yake but uzuri Wali kuwa fasta sana daah unakatwa uku wenzio wanakutazama uku wanashangiliia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Afu wakina Dada tunawapa buree tuu tume gharamia hii oooh
 
1997 hyo ndio nlikatwa gov baada ya kubanwa na zipu asubhi nlipkkuwa naenda skul so pale pale libabu limoja likaja na mkisu wake likaumaliza mchezo chaaap
Hahaha...maumivu yake hayana kifani...pole japo kwa sasa..wanaipata fleshi...
 
Aisee ilikuwa sio pouwa but siwez sahau kitu no ganz ngaliba Ana fanya yake but uzuri Wali kuwa fasta sana daah unakatwa uku wenzio wanakutazama uku wanashangiliia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Afu wakina Dada tunawapa buree tuu tume gharamia hii oooh
Me huwa sitaki mwanamke aniambie ubwege kabisa kwakua ile adha haijui kabisa.shenzi zao
 
Back
Top Bottom