LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
Wakuu,nimetokea kuwa addict sana na hutu tudude,kwa wajuvi wa mambo,hivi hakuna madhara yeyote naweza kupata kwa kuwa muhanga wa hiki kinywaji?
kiukweli katika wiki lazima ninywe mara tatu au nne,sasa kama mjuavyo,too much is harmful,nimeona kabla sijapatwa na lolote,niulize kwanza wazoefu mnisaidie kama niendelee tu kutumia au,niache/nipunguze?