Mh. Rais, pole na majukumu makubwa na mazito ya kuongoza nchi. Pia nakupogeza kwa juhudi zako za dhati za kuinua uchumi wa nchi na raia mmoja mmoja. Tatizo liko mlangoni, utamaliza muda wako...
Wana Jf tatizo la websites za taasisi zetu mie naona kama vile tatizo ila inawezekana ni mtizamo wangu tu.
Ila ukiingia website ya SIDO Tanzania ili kuona Products walizonazo huwezi kupata moja...
Siku zingine ukiwa unajijua huna Msuli wa kutosha usipende sana Kusalimia na Watu ambao wamekula na wakashiba halafu ukataka kupimana nao ubavu wa Kiafya unaweza ukaanguka bure kisha ukawapa Watu...
Wambura hakuomba kurudishwa kwenye nyazifa zake bali ameomba kufanyiwa marejeo ya mashitaka zake
Hakuna hukumu inayoonyesha Wambura amerudishwa katika nyazifa zake ila wameomba marejeo yao ya...
Nimengundua WaTz bado tuna umoja katika maslahi ya taifa letu. Hizi Kelele si za kupuuza japo ni sample ndogo hapa JF, Mwenye masikio na asikie. Tuache chuki na visasi tupendane.
Kwa watumiaji wa barabara Hii ya Morogoro wataungana na mimi juu ya adha kubwa ya viraka vinavyojitokeza barabara huku mamlaka husika wakikaa kimya.
Sifa moja ya kiraka kama kisipozibwa ...
Ni dhahiri kuwa nchi yetu inahitaji kitu kipya. Inahutaji mtu msikivu mcha Mungu na kijana.
Mwenye kujua dini na sio kuigiza.
Haye twende na January 2020
Serikali na sheria pia zinasema channel za ndani ikiwepo azam one,azam two,azamsport hd na zingine zioneshwe bure ila mpaka sasa mwaka unaisha hawafuati sheria za nchi..
Je hii inamaana azamtv...
Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) imesitisha kusambaza dawa kwa vituo vya Serikali kutokana na kuongezeka kwa madeni huku ikidai serikali imekuwa ikiendela kukopa dawa hizo kutoka Bohari hiyo na...
Sina mapya ya kuwaambia,haraka sana waambieni informers wetu wa maofisi ya umma wawape ripoti ya chuki mbaya inayojengwa juu yenu ya wafanyakazi
Hili la pensheni ya kibaba cha 25% limechoma...
Viongozi wetu kuna somo kubwa sna wanatakiwa kusoma kupitia kifo cha Bush mkubwa mie binafsi kifo hiki kimenirudisha mpk tarehe 7 mwenzi 4 mwaka 1972 Zanzibar japo Sababu za kifo zipo tofauti lkn...
Kwa kuangalia mwenendo wa serikali tu natabiri upigaji wa hali juu sana tena sio ule wa wazee wa bandar no juu itakuwa wa hukooo juu. Nadiriki kuyasema haya baada ya kushuhudia wazwaz naibu...
wakuu za saa hizi, nataraji kuja dar kesho kwa ajili ya semina ya kikazi, ila mi mgeni maeneo ya sinza, mwenge sayansi na kijitonyama, natafuta ka hotel amaboko kiko safe, clean na bei kuanzia elf...
Niende kwenye mada watumishi wa umma na wafanyakazi na vyama vyenu vya cwt tughe tuico nk huwa mnakata sana viuno mkiimba kwaya kubembeleza muongezewe hela yani mmekuwa kama mazuzu nawauliza...
Habari zenu wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi sio mgeni humu ila nimetumia ID mpya so niwatoe hofu ya hiyo username yangu.
Mara nyingi vijana hawatambui ni vitu gani wanapaswa...
UNGEKUWA NI WEWE UNGECHUKUA UAMUZI GANI?
Siku zote mke wangu amekuwa akiniambia kuwa ananipenda sana. Kitu kizuri zaidi amekuwa akinionyesha upendo huo, jambo ambalo limenifanya nijivunie kuwa...
Wanafunzi wa shule ya secondary LUSAHUNGA wilayani Biharamulo hufukuzwa kwenye kipindi cha sayansi na kupewa adhabu ya kuponda kokoto ndoo 3, kwa kosa la kutolipa mchango wa walimu wa ziada shs...