Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajamvi, Namtambulisha kwenu mnyonge mwenzetu ambaye hatatugeuka na kujifanya Mungu mtu, hataomba kuwa kiongozi wa Malaika kwani yeye ni binadamu Kama sisi, hatakubali kujiita jiwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana nilikuwa nasafiri kuelekea musoma nilivyofika stand ya buzuruga hapa mwanza akajitokeza jamaa mmoja akaniuliza nasafiri? Nikamwambia ndiyo. Akaomba anipokee begi nikamkatalia basi akaendekea...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa serikali ya awamu ya 5 ya Tanzania, kutoa hukumu hakuhitaji uwe na elimu ya sheria…… Na kwasasa nimewadharau mahakimu wote wanaofanya kazi bila kufuata weledi wa taaluma yao na kusubiri...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
TAKUKURU mkoani Mwanza inamshikilia Afisa uvuvi wa Manispaa ya Ilemela, Williadius Buberwa(33) kwa tuhuma za kupokea rushwa ya Tsh. Milioni 1.5 Naibu Mkuu TAKUKURU Mwanza, Emmanuel Stenga jana...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Whatsup imeua BBM Youtube imeua DVD Bluetooth imeua infrared Xender imeua Bluetooth CDs imeua Cassettes Android imeua Winfows phone Uber imeua Yellow Cab Simu imeua Post Office SMS imeua Barua E...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
Ukipitia mitandao mingi ya kijamii utalikuta jina la Benard Membe linazagaa .Lakini ukifuatilia mazungumzo, HOJA, na wachangiaji wengi utabaini ni members of CDM party. Wanachadema wengi ni...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Mahakama moja nchini India [emoji1128] imeamrisha mwanaharakati wa kihindi bi Rehana Fathima kukaa rumande siku 14 kwa kuchapisha picha hii [emoji1546]kwenye mtandao wa Facebook. Polisi wanasema...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama siku tatu zilizopita nilikuwa maeneo ya sikonge nikakutana na jamii ya watu wa kabila ya wakonongo ambao wana mila na desturi za kinyamwezi na wanaongea kinyamwezi basi mimi niliwahesabia hao...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Wenzangu wana JF nimeombwa na rafiki yangu kupitia jukwaa la JF doctors ushauri kama ifuatavyo "Nimezaliwa mwaka 1979 nina tatizo la ugonjwa wa kisukari.Ugonjwa huu umepunguza uwezo wangu wa...
0 Reactions
1 Replies
737 Views
SEKESEKE la aina yake kati ya dereva wa gari dogo aina ya Toyota Pick up na trafiki ambao majina yao hayakujulikana mara moja liliibuka na kuzua maswali mengi kwa mashuhuda huku mambo ya rushwa...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
leo nimepata nafasi kupita kwenye Alma mater yangu baada ya miaka 2. Nimefurahishwa na mabadiliko nilioyaona. Ile barabara ya kuelekea Changanyikeni imewekewa rami na pia pavement ya kutokea UDBS...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo kwenye pitapita yangu jamii forums nimeona hii kitu. mtu wa kwanza kutoa Post amefariki Mtu wa pili aliye coment kafariki Mtu wa tatu aliye Coment kafariki inasikitisha Sana.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Niwape rai wanahabari wote na wengine ambao majina yao yanachafuliwa na hili jinamizi ama mkosi, chukueni hatua za haraka kuliko kukaa kimya. Litengeni hili jinamizi kwenye shughuli zenu zote za...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ili kuondokana na kero ya foleni tunayoipata wakati wa jioni pale Ubungo, hii ni kutokana na upanuzi wa barabara, wiki iliopita foleni ya Ubungo ilianzia TOT, tunaiomba Serikali malorry yote ya...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo 1.TIKETI YA SAFARI. 2.CHETI CHA MATIBABU YA HOSPITALI. 3. FOMU YA...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa Mwanza wakati nasubiri usafiri wa daladala ilikuja bus mpya kabisa aina ya tata abiria tulipanda kwa nafasi na wote kupatiwa seat za kukaa. Dereva ana nidhamu, konda nae ananidhamu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa niaba ya Wafanyakazi wote Tanzania, nachukua fursa hii kumpongeza sana Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuona na kusikia kilio cha Wafanyakazi. Niwaombe sasa Viongozi wa...
1 Reactions
65 Replies
10K Views
SGR ilifanya tathimini ya nyumba zetu zilizopitiwa na mradi wa SGR, tangu Dec 06 /2017. Tukaambiwa mpaka Januari 2018 tutakuwa tumelipwa na kuondoka. Mwezi Juni mkaja na tathmini ambayo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni; 1. Mo Dewji 2. Said Bakhressa 3. Diamond Platinumz 4...
10 Reactions
169 Replies
40K Views
Tanga. Wanawake wawili wamebakwa mkoani Tanga ndani ya saa 72 na kisha kuuawa, jambo ambalo Kamanda wa Polisi mkoani humo, Edward Bukombe amesema ni lazima wabaini kiini cha wanaobakwa kuuawa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…