Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,661
leo nimepata nafasi kupita kwenye Alma mater yangu baada ya miaka 2. Nimefurahishwa na mabadiliko nilioyaona. Ile barabara ya kuelekea Changanyikeni imewekewa rami na pia pavement ya kutokea UDBS kuelekea kituo cha basi imetengenezwa. Nakumbuka kipindi niko mwaka wa pili niligongwa na side mirror ya gari sababu kulikua hakuna pavement ya watembea kwa miguu. Umeongeza street lights ili kuleta usalama mida ya usiku na pia ile barabara ya kuelekea Shuttle Point kutokea kituo Kontena nimekuta inakarabatiwa pia. Kudos Prof. Anangisye!