Je ni kweli Membe ni lulu kwa Chadema na embe bovu kwa CCM?

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,681
Ukipitia mitandao mingi ya kijamii utalikuta jina la Benard Membe linazagaa .Lakini ukifuatilia mazungumzo, HOJA, na wachangiaji wengi utabaini ni members of CDM party.

Wanachadema wengi ni washabiki wazuri wa Benard Membe.

Je ni nini sababu ya wanacdm wengi ni wapenzi Membe kuliko wanaCCM?

Je ushabiki huo wa wanaCDM kwa Membe haiwezi kuwa njia ya kumuondolea nafasi yake kisiasa?
 
Kuna ule usemi unasema Bora Nusu shari kuliko shari kamili.

Ninafikiri wamezingatia hilo ama kuna waliomchoka.
 
Ukipitia mitandao mingi ya kijamii utalikuta jina la Benard Membe linazagaa .Lakini ukifuatilia mazungumzo, HOJA, na wachangiaji wengi utabaini ni members of CDM party.

Wanachadema wengi ni washabiki wazuri wa Benard Membe.

Je ni nini sababu ya wanacdm wengi ni wapenzi Membe kuliko wanaCCM?

Je ushabiki huo wa wanaCDM kwa Membe haiwezi kuwa njia ya kumuondolea nafasi yake kisiasa?
Tulia mkuu ,membe for presidency 2020.
 
Alikwambia nani CDM wanamtaka Membe?
Ninyi CCM ndo mmemchoka Magu kwa sababu anawafilimba vibaya hadi mmemchoka, Magu endelea kuwakaza hawa maana hawajielewi! Tunyooshe baba, yaani hivyo hivyooo.
 
Ukipitia mitandao mingi ya kijamii utalikuta jina la Benard Membe linazagaa .Lakini ukifuatilia mazungumzo, HOJA, na wachangiaji wengi utabaini ni members of CDM party.

Wanachadema wengi ni washabiki wazuri wa Benard Membe.

Je ni nini sababu ya wanacdm wengi ni wapenzi Membe kuliko wanaCCM?

Je ushabiki huo wa wanaCDM kwa Membe haiwezi kuwa njia ya kumuondolea nafasi yake kisiasa?
Watanzania ni vigeugeu yani huyu Membe walivyokuwa wanamnangá wakati wa uchaguzi wa mgombea wa CCM sikutegemea leo kama atageuka lulu. Nadhani kwa sasa ana mashabiki upinzani kuliko hata Lowassa. Ila JPM mjanja kwa sifa anazomwagia Lowassa lazima watu waanze kuwa na mashaka naye na hata yeye lazima ajishtukie awe makini asiache kusifiwa.
 
Ukipitia mitandao mingi ya kijamii utalikuta jina la Benard Membe linazagaa .Lakini ukifuatilia mazungumzo, HOJA, na wachangiaji wengi utabaini ni members of CDM party.

Wanachadema wengi ni washabiki wazuri wa Benard Membe.

Je ni nini sababu ya wanacdm wengi ni wapenzi Membe kuliko wanaCCM?

Je ushabiki huo wa wanaCDM kwa Membe haiwezi kuwa njia ya kumuondolea nafasi yake kisiasa?
Ndioooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Upinzani wanajaribu kupima uzito kwa membe..wanatumia approach ya kitoto sana baada ya kuona siasa na magufuli hawawezi..usije shangaa baada ya benard membe wakahamia kwa mwandosya.
 
Twende na Membe

Mkuu your dream will soon comes true
 
Sisi upinzani tutawachagulia ccm mgombea wa kuchuana na tundu lissu na hakika si mwingine Bali ni Bernard Membe, magufuli akapambane na nasari huko arumeru si mlisikia Jana anasema anatamani kuwa mbunge wa arumeru.
 
Vita vya panzi wenyewe kwa wenyewe, ni furaha kwa kunguru. cdm hawana haja na Membe.
 
Back
Top Bottom