Mahakama moja nchini India [emoji1128] imeamrisha mwanaharakati wa kihindi bi Rehana Fathima kukaa rumande siku 14

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Mahakama moja nchini India imeamrisha mwanaharakati wa kihindi bi Rehana Fathima kukaa rumande siku 14 kwa kuchapisha picha hii kwenye mtandao wa Facebook.
Polisi wanasema picha hii ni ya ”utupu”.
Amewekwa rumande kwa siku 14 kuruhusu polisi wakamilishe uchunguzi.

Je picha hii ya utupu?

: Rehana Fathima
FB_IMG_1543910663308.jpeg
 
Back
Top Bottom