Wale wote mliowekeza vyombo vya usafiri njia hiyo, anzeni kutafuta biashara nyingine za kufanya.
Madereva wa malori na mabasi anzeni kujifunza stadi mpya. Hii ni tahadhari tu. Nchi hii haitaisha...
Wakuu nafuatilia kitambulisho ili nisajili biashara BRELA mchakato huu ulianza toka mwezi wa tatu mwaka huu ukafail nikajisajili tena Upya.
Ni mwezi wa pili sasa hakuna mafanikio yoyote na BRELA...
Habari wana jamii forum,
Nimebahatika kufika Geita Mjini na kuona mjini kwa kiasi unakuwa ingawa changamoto ni nyingi.
Tatizo nililokutana nalo ni mamlaka muhimu kuendelea kukaa ofisini bila...
Sasa najiuliza, kwa maswali kama hayo, CCM tutaiondoa madarakani lini?
Walimu acheni uzembe, kuweni makini basi na taaluma yenu.
Hayo maswali hayawafai watoto wetu.
Au nyie mnafurahia huo...
Muonekano wa Gati mpya Na. 1
Baada ya kukamilika kwa Gati Na. 1 kati ya 7 yanayojengwa katika Bandari ya Dar es Salaam kwa gharama ya bilioni 33.7; ufunguzi unatarajiwa kufanyika wiki ijayo ha...
Kwanza salam ziwafikie huko mliko..
Natumai mnaendelea vema na kazi ya ujenzi wa taifa.
Kutokana na haya yanaondelea kati yenu na wasanii na hivi karibini na kusababisha minong'ono mkionekana...
Nimenunua kiwanja maeneo ya kwa mromboo arusha sasa kiwanja nimekiona nkaridhika nacho na baada ya apo nkaenda kwa mwandishi wa umma nikabadilishana ule mkataba na kukabidhiana pesa sema nimetoa...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amewataka wanawake na watoto wanaofanyiwa vitendo vya unyanyasaji na ukatili wa kijinsia kuwasilisha malalamiko yao polisi kwa...
Hivi majuzi kule mkoani singida maeneo ya kibaoni barabara ya kuelekea dodoma kuliibuka kikundi cha wahuni wakiwa katika bajaji moja .
Kikundi hiki kilimkuta traffic mmoja kwenye maeneo hayo...
Msemaji wa Polisi, Ahmed Msangi amesema jana kuwa malimbikizo hayo ni yale ya faini zilizokaa siku 7 na zaidi kuanzia Januari hadi Oktoba 2018
Aidha, amesema ajali zimepungua kwa mwaka huu kutoka...
Ni nini kimeisibu benk yetu hii pendwa,
Napenda kutoa angalizo kwa Benki Yetu iliyokuwa pendwa ya CRDB. Benki hii imejijengea mtandoa mpana na hata kwenye faida katika soko la banki nchini...
Baada ya ufafanuzi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai kwamba sheria iliyopelekwa bungeni mwaka Jana haikuwa na kifungu kilichoonesha kikokotoo bali kilitakiwa...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema inakadiriwa kupoteza zaidi ya Tsh. Milioni 530 ambazo ni sawa na asilimia 45 za makadirio ya mwezi Januari hadi Juni 2018
Naibu Waziri Ujenzi, Mawasiliano...
Dola ni kama mkate wa Boflo. Huumuka na kusinyaa!
Kwa nini dola huumuka? Currency appreciation.
Thamani ya Dollar huweza kupanda dunia nzima.
Hii humaanisha kuwa kama thamani ya dollar ( dollar...
Bei za mafuta ghafi katika soko la Dunia zimekuwa zikiongezeka mwezi hadi mwezi kutoka Dola 75 kwa pipa, mwezi Julai 2018 hadi kufikia Dola 81 kwa pipa, mwezi Oktoba 2018.
Mwenendo wa bei za...