Msaada:Naomba mawasiliano ya NIDA makao makuu

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,471
Reaction score
1,578
Wakuu nafuatilia kitambulisho ili nisajili biashara BRELA mchakato huu ulianza toka mwezi wa tatu mwaka huu ukafail nikajisajili tena Upya.
Ni mwezi wa pili sasa hakuna mafanikio yoyote na BRELA nao hawaeleweshi chochote bila kadi ya NIDA na huku NIDA nao wazungusha tu.Nimepiga simu na kutuma email kwa contact zao za mtandao sijafanikiwa wala email hazijibiwi
Naomba km kuna mtu ana namba ga mkurugenzi au mfanyakazi wa pale nida anipatie niongee nao moja kwa moja,namba ziliopo kwenye mtandao wao hazipatikani na landline haifanyi kazi.
Kww hali hii Tanzania itazidi kuporomoka siku hadi siku katika urahisi wa ufanyaji biashara.

Kuanzisha biashara kwa sasa inachukua zaidi ya mwaka kukamilisha...INASIKITISHA sana
 
mi naomba ya Abc banc, hawana email, zantel hazijibiwi, ukiwapigia wanakwamnia nenda mkoani kwako, mikoani ofisi zimefungwa ukiwakuya wanakwambia wapigie makao makuu, kazi sana!
 
Wakuu nafuatilia kitambulisho ili nisajili biashara BRELA mchakato huu ulianza toka mwezi wa tatu mwaka huu ukafail nikajisajili tena Upya.
Ni mwezi wa pili sasa hakuna mafanikio yoyote na BRELA nao hawaeleweshi chochote bila kadi ya NIDA na huku NIDA nao wazungusha tu.Nimepiga simu na kutuma email kwa contact zao za mtandao sijafanikiwa wala email hazijibiwi
Naomba km kuna mtu ana namba ga mkurugenzi au mfanyakazi wa pale nida anipatie niongee nao moja kwa moja,namba ziliopo kwenye mtandao wao hazipatikani na landline haifanyi kazi.
Kww hali hii Tanzania itazidi kuporomoka siku hadi siku katika urahisi wa ufanyaji biashara.

Kuanzisha biashara kwa sasa inachukua zaidi ya mwaka kukamilisha...INASIKITISHA sana
Ukafail kwasababu hukutimiza vigezo na mashariti, kama hivyo huna Kitambulisho cha Taifa harafu unapaza Ubaya. Hatuwezi kufika kwa stahili hii chamsingi omba Mawasiliano basi.

Nilimpeleka Mke wangu Siku tano tu kapewa Document acha uongo kuwapaka matope Brela.
 
Chukua hatua, nenda Dar es Salaam makao makuu ya Nida wasilisha hoja yako Kama Wilayani haukupata msaada
 
Mimi juzi vimetoka changu hakipo na Brela wanataka hicho.
Nitatumia cha MTU kusajilia
 
Nenda ofisini, yaani kwa kiingereza huwa wanasema fika ofisini physically uongee na mtu personally kisha utapata majibu mubashara au live.
Ukijificha nyuma ya keyboard hutopata jibu, kwasababu unaweza ukawa mchina, au mrundi hawatoi vitambulisho vya taifa kwa wageni au foreigners. Nakushauri uende na usilazimishe kupiga simu, kama umepiga hawapikei tafuta muda kama ivyoenda brela uende NIDA sasa, ukipata ndio usnde huko brela. Kwanini ulazimishe brela wakati kitambulisho cha NIDA huna?!
 
Ukafail kwasababu hukutimiza vigezo na mashariti, kama hivyo huna Kitambulisho cha Taifa harafu unapaza Ubaya. Hatuwezi kufika kwa stahili hii chamsingi omba Mawasiliano basi.

Nilimpeleka Mke wangu Siku tano tu kapewa Document acha uongo kuwapaka matope Brela.
Mkuu hivi kosa ni la nani,kwa nininwaingize masharti ambayo upande mwingine haukujiandaa? Nilijiandikisha NIDA toka March mwaka huu hadi leo sijapata kitambulisho ukienda Brela wao wanataka kitambulisho cha NIDA ukienda NIDA ni bla bla tu....hapa tunajenga au tunabomoa?
 
Back
Top Bottom