Amina Keneth
MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Amina Keneth (26), mkazi wa mtaa wa Mwasanga, Kata ya Itiji jijini Mbeya, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kujifungua mtoto jinsi ya kike mwenye...
Huu ni msimu wa nne mfululizo wa zao la korosho kunikutia Mtwara.....
Mambo yamebadilika sana....zile mishe mishe za kibiashara nilizo zizoea hazipo tena.....
Maisha ni magumu mno kwenye haka...
Kwa masikitiko makubwa taasisi ya fedha ya Faidika imekuwa ikiwasumbua wateja waliofuta madeni yao kuwalipa makato kutoka katika mishahara yao baada kukatwa ilhali wameshafuta madeni hayo.
Ni...
Habari wakuu....
Kesho 09/12/2018 tunaadhimisha miaka 57 ya Uhuru wa Tanganyika yetu pendwa...
Kuna video inamwonesha Mh. Rais JPM...akisisitiza kua tar9 ni siku ya mapumziko....isitoshe siku...
Serikali Mkoani Njombe Imewataka Watanzania Kujenga Mazoea ya Kutembea na Nyaraka Zote Muhimu za Utambulisho Wao Pindi Wanapokuwa Safarini Ili Kurahisisha Mawasiliano Wakati Linapotokea Jambo...
UTANGULIZI
Tai ni moja kati ya aina ndege walio maarufu, Umaarufu wake umejikita katika mtindo wake wa maisha ambao ni wa kipekee.
Kuna aina nyingi wa Tai mfano; kuna tai mwenye mkia mweupe...
Nimekuwa Kila Siku Nikishuhudia Tu Humu JF Habari za TANZIA au VIFO Vya Watu Fulani tu Ila Sijaona AU Sijawahi Hata Kuona Taarifa Za MMOJA Wetu Humu Kwenda Safari Ya Milele ( KUFA ) Sasa Swali Je...
Nimetembea leo mitaa ya posta ,kariakoo,Daladala na ubungo kila mahali watu wanamzungumzia Ibrahim pasha kila kundi la watu unaloliona basi jina la Pasha linatawala na nyuso za wadau zikiwa na...
Sijui ni mm au hata na wengine kila dk 5 inaingia massage Mara dakapesa.booopesa instmoja.biko.tatumzuka jamani tafuteni njia nyingine ya vipato na ole wenu zingekuwa zinajibika
BARUA YA WAZI KWA MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JOHN POMBE MAGUFULI KUHUSU OPARATION KOROSHO 2018.
NA RAMA ALLY NAHONHO, Mkulima na mtoto wa mkulima wa korosho.
Mheshimiwa rais...
JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limetakiwa kufanya ukaguzi na uhakiki wa vibali kwa wamiliki wa silaha ili kudhibiti vitendo vya uhalifu, vinavyotokana na matumizi mabaya ya silaha hizo.
Agizo hilo...
Mungu wetu sio mpenda kiki. Hufanya kazi zake kwa ukimya mkubwa sana kiasi kwamba baadhi ya watu hudhani kuwa Mungu hayupo.
Mungu haitishi vyombo vya habari ili kujipa promo kwa yale anayoyafanya...
Wakati Jeshi la Polisi likimaliza Wiki ya Usalama Barabarani, wananchi wanatarajia kosa jipya linalogharimu Sh30,000; kutokuwa na stika ya usalama.
Hili ni ongezeko moja kati ya makosa kadhaa...
Ukifika HOSPITALI YA MUHIMBILI kuna wodi inaitwa Sewahaji. Unamjua Sewahaji alikuwa ni nani??
Sewa Haji Paroo ndio hasa alianzisha ujenzi wa hospitali ya Muhimbili. Alifika huku Tanganyika kupitia...
1. The poor watch TV while the rich read
The poor spend more time glued to their television set and in most cases, they devote their time watching programs that will add no value to their lives...
Wakati mjadala wa sheria mpya ya mafao ukiendelea kutawala nchini, imebainika kuwa endapo mwanachama wa mfuko wa wa hifadhi ya jamii atastaafu kwa hiari, pensheni yake ya kila mwezi itapungua kwa...
Nimekuwa najisikia mara nyingi mtawala na wafuasi wake wakisema, hii ni " serikali ya wanyonge"!?
Mimi Neno hilo kumwita binadamu mwenzio Mwenye maisha duni ama maskini "mnyonge"Naona kama ni TUSI...
Tuko ndani ya basi wanakuja watu wa usalama barabarani na kutoa maelezo ikiwa ni pamoja na namba zao ikiwa dereva anaendesha basi ovyo ovyo 0682887722
Wanapinga ajali kwa namna yote sote...