mansolata
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 502
- 319
Huu ni msimu wa nne mfululizo wa zao la korosho kunikutia Mtwara.....
Mambo yamebadilika sana....zile mishe mishe za kibiashara nilizo zizoea hazipo tena.....
Maisha ni magumu mno kwenye haka kamji ....
Hata daladala nizakuhesabu
Ukiweza ishi Mtwara mikindani....utaweza ishi popote Tz hiii;
Wanamtwara mnijuze nini chanzo cha mdororo wa biashara