Mama mbaroni kwa kuua kichanga chake

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,445
RF.jpg

Amina Keneth

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Amina Keneth (26), mkazi wa mtaa wa Mwasanga, Kata ya Itiji jijini Mbeya, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kujifungua mtoto jinsi ya kike mwenye umri wa siku moja kisha kumtumbukiza kwenye mfuko wa sandarusi (rambo) kisha kumtupa mita sabini kutoka nyumbani kwake. Akizungumza mara baada ya kukamatwa na polisi, Amina alisema, sababu za kumtupa mtoto huyo ambaye alikutwa amefariki ni ugumu wa maisha na kutomtambua mwanaume aliyempa ujauzito.

Tetesi za kutupwa kwa kichanga hicho ziliibuliwa na baadhi ya wanawake mtaani hapo ambao walifanya uchunguzi na kubaini Amina kuhusika na tukio hilo ambapo katika mahojiano alikiri kuhusika na tukio hilo.

“Nilipojifungua nikaona sina mtu wa kunisaidia kumlea mtoto na baba yake simfahamu nilisubiri ilipofika usiku nilimviringisha kwenye shuka nikamweka kwenye rambo nikaenda kumtupa ingawa moyo ulikuwa unaniuma,” alisema Amina huku akibubujikwa na machozi. Hata hivyo, tangu kujifungua Amina alikuwa hajala wala kuoga ambapo wasamaria wema ambao hawakupenda kutajwa majina yao walijitolea kumuogesha na kumpa kikombe cha uji.
GTR.jpg

Jonas Mwasanga ambaye ni Mwenyekiti wa Mtaa Mwasanga, alisema baada ya kupata taarifa za tukio hilo, alitoa taarifa Kituo Kikuu cha Polisi ambapo polisi wa kitengo cha Dawati la Jinsia walifika na kuuchukua mfuko wa sandarusi uliokuwa na mwili wa mtoto huyo na kwenda nao kituoni kwao kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Mwenyekiti Mwasanga alimteua Brandy John kuongozana na Amina Hospitali ya Wazazi Meta kwa ajili ya matibabu. Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na wanafanya uchunguzi na wakikamilisha watamfikisha mtuhumiwa mahakamani
 
Sipati picha mwanamke ukitoka kujifungua kisha ukae kwa siku kadhaa bila kuoga.

Wakati mmoja niliwekwa central flani hivi na mdada ambae alitoka kujifungua ila hajakandwa wala kuoga....aliumuka na kujaa na baada ya siku 4 za mateso yule dada alifariki huku akiwa kama kaoza.
So sad...R.I.P Edina Patrick japo tulifahamiana Police ila kifo chako kiliniuma sana.
 
So Sad, ladies it can be a Disgraceful Pregnancy but he will never be a Disgraceful Child !!

Wangapi wenu mnaosoma hapa, Umeua?? Kumbuka Mimba uloitoa kwa vidonge, kwa kuchokonolewa wangapi???

Wanawake wazidi kupewa Elimu.
Wanawake wazidi kupewa uwezo wa kujikwamua kimaisha !!

Kiukweli, Kuna watu wanamaisha Magumu sana .
 
nimesoma maoni ya wengi hapa, lakini naona wengi munajifanya ni kaa hamuelewi vile munasema, kwanza yaonekana huyu binti inawezekana kuwa akili yake sio timamu, pili ukisikia akisema hajui nani kampa uja uzito hio ni maana yakua hana fikira timamu kabisa, sasa huyu hakuna haja ya apelekwe kortini, peleka yeye hosipitali, na kisa uchunguzi ufanywe kubaini nini tatizo la akiri yake
 
So Sad, ladies it can be a Disgraceful Pregnancy but he will never be a Disgraceful Child !!

Wangapi wenu mnaosoma hapa, Umeua?? Kumbuka Mimba uloitoa kwa vidonge, kwa kuchokonolewa wangapi???

Wanawake wazidi kupewa Elimu.
Wanawake wazidi kupewa uwezo wa kujikwamua kimaisha !!

Kiukweli, Kuna watu wanamaisha Magumu sana .
sasa unasema tusimeze vidoge, tuzae bila mpango, nani talisa nani tafundisa,, mimi nameza vindonge kila siku
 
RF.jpg

Amina Keneth

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Amina Keneth (26), mkazi wa mtaa wa Mwasanga, Kata ya Itiji jijini Mbeya, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kujifungua mtoto jinsi ya kike mwenye umri wa siku moja kisha kumtumbukiza kwenye mfuko wa sandarusi (rambo) kisha kumtupa mita sabini kutoka nyumbani kwake. Akizungumza mara baada ya kukamatwa na polisi, Amina alisema, sababu za kumtupa mtoto huyo ambaye alikutwa amefariki ni ugumu wa maisha na kutomtambua mwanaume aliyempa ujauzito.

Tetesi za kutupwa kwa kichanga hicho ziliibuliwa na baadhi ya wanawake mtaani hapo ambao walifanya uchunguzi na kubaini Amina kuhusika na tukio hilo ambapo katika mahojiano alikiri kuhusika na tukio hilo.

“Nilipojifungua nikaona sina mtu wa kunisaidia kumlea mtoto na baba yake simfahamu nilisubiri ilipofika usiku nilimviringisha kwenye shuka nikamweka kwenye rambo nikaenda kumtupa ingawa moyo ulikuwa unaniuma,” alisema Amina huku akibubujikwa na machozi. Hata hivyo, tangu kujifungua Amina alikuwa hajala wala kuoga ambapo wasamaria wema ambao hawakupenda kutajwa majina yao walijitolea kumuogesha na kumpa kikombe cha uji.
GTR.jpg

Jonas Mwasanga ambaye ni Mwenyekiti wa Mtaa Mwasanga, alisema baada ya kupata taarifa za tukio hilo, alitoa taarifa Kituo Kikuu cha Polisi ambapo polisi wa kitengo cha Dawati la Jinsia walifika na kuuchukua mfuko wa sandarusi uliokuwa na mwili wa mtoto huyo na kwenda nao kituoni kwao kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Mwenyekiti Mwasanga alimteua Brandy John kuongozana na Amina Hospitali ya Wazazi Meta kwa ajili ya matibabu. Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na wanafanya uchunguzi na wakikamilisha watamfikisha mtuhumiwa mahakamani
Post portum blues..
 
So Sad, ladies it can be a Disgraceful Pregnancy but he will never be a Disgraceful Child !!

Wangapi wenu mnaosoma hapa, Umeua?? Kumbuka Mimba uloitoa kwa vidonge, kwa kuchokonolewa wangapi???

Wanawake wazidi kupewa Elimu.
Wanawake wazidi kupewa uwezo wa kujikwamua kimaisha !!

Kiukweli, Kuna watu wanamaisha Magumu sana .

Poet : Mbuyiseni Oswald Mtshali
An Abandoned Bundle

The morning mist
and chimney smoke

of White City Jabavu
flowed thick yellow
as pus oozing
from a gigantic sore.

It smothered our little houses
like fish caught in a net.
draped in red bandanas of blood
fought fiercely
for a squirming bundle.

I threw a brick;

they bared fangs
flicked velvet tongues of scarlet
and scurried away;
leaving a mutilated corpse - 

an infant dumped on a rubbish heap
'Oh! Baby in the Manger
sleep well
on human dung.'

Its mother

had melted into the rays of the rising sun,
her face glittering with innocence
her heart as pure as untrampled dew.
 
Sipati picha mwanamke ukitoka kujifungua kisha ukae kwa siku kadhaa bila kuoga.

Wakati mmoja niliwekwa central flani hivi na mdada ambae alitoka kujifungua ila hajakandwa wala kuoga....aliumuka na kujaa na baada ya siku 4 za mateso yule dada alifariki huku akiwa kama kaoza.
So sad...R.I.P Edina Patrick japo tulifahamiana Police ila kifo chako kiliniuma sana.
Alifariki kwa kutokandwa au alikua anaumwa?
Apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom