Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Bw. Lazaro Twange, amesema mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Zuzu, Dodoma, unatarajiwa kukamilika ifikapo Agosti...
2 Reactions
6 Replies
203 Views
Toa miguu hio uliyoweka kwenye kochi la shemeji yako ukisubiria tamthilia ya kobis. Weka hio simu pembeni ambayo una like picha za sponsor wako huku ukiwa umekaa geto wenzako wako ground...
6 Reactions
29 Replies
440 Views
UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA WATUMISHI AJIRA MPYA Halmashauri ya Wilaya ya Chato inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii...
1 Reactions
2 Replies
220 Views
Zaburi 23:5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Mungu ufanya kazi katika namna ya pekee ambapo kwa macho ya haraka...
3 Reactions
6 Replies
182 Views
There was once a Japanese monk who wanted to master not only the mind… but the body itself. For years, he trained in silence, meditation, fasting, and extreme discipline. He slowly stopped...
5 Reactions
7 Replies
303 Views
Ni miaka na mikaka sasa bado mnatafuta chanzo cha kwanini WATU wanatekwa na kupoteza Lakini haitoshi bado mnatafuta nani alimpiga TUNDU LISSU risasi pale Dodoma had kumsababishia ulemavu wa...
1 Reactions
4 Replies
168 Views
Salama. Wawekezaji wengi hasa kutoka bala la Asia hawa wachina ,wakorea ,Mahindi ni watu ambao wanawanyanyasa sana wazawa kwenye maeneo waliyowaajili. Hawa watu ni hawazingatii kabisa sheria za...
1 Reactions
1 Replies
121 Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili, kinachoheshimu viongozi, wazazi...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra, Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini. Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani. Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu...
6 Reactions
32 Replies
442 Views
Anonymous
Uyole, Jimbo jipya la Mbunge Tulia Mkoani Mbeya nimelipia huduma ya kuunganishiwa maji safi tangu mwezi wa 4 lakini hadi leo hii tunaambiwa vifaa hamna. Wanataka tusubiri hadi vitakapo kuja...
1 Reactions
4 Replies
96 Views
Anonymous
Katika Mtaa wa Nguku, Kata ya Nyandoto, Tarime Mjini, wananchi wanaishi katika hofu ya usalama baada ya mkulima mmoja kupanda mabingobingo (Napier Grass) katikati ya makazi ya watu. Nyasi hizo...
6 Reactions
12 Replies
266 Views
Binafsi nafikiri Sheria ya kubinafsisha mali aliyoiweke Mwalimu Nyerere iendelee kuwepo ILI wale wote watakaobainika kutumia raslimali za umma kwa faida yao binafsi mara watakapo tiwa hatiani...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Iwe kazi Biashara Ajira Mahusiano na ndoa Yani naomba ushauri wowote ili niweze kufanikiwa Ahsante
2 Reactions
28 Replies
284 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imekamilisha zoezi la upimaji wa wingi wa maji katika kisima kipya cha Kisukuru eneo la Viwanja vya Benki ambapo kimethibitika kuwa na uwezo wa...
0 Reactions
3 Replies
132 Views
Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Habari wananzengo, Naomba kuuliza Je ni Muda gani Mtu anapewa mkopo kama amekidhi vigezo vyote vya kukopesheka, ie ana dhamana, ana biashara iliosajiliwa, Bank statement zake ziko vizuri ...
1 Reactions
8 Replies
373 Views
Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50% Mpira-20% Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20% Fursa za uchumi,biashara-5% Memes, Quotes-5%
17 Reactions
169 Replies
2K Views
Salama Chadema ni kama ni chama ambacho ni cha kuchezea sarakasi watu kama akina Peter Msingwa mlitakiwa msiwapokee ,Kama alitaka kurudi angeenda Chauma au chama kingine Kuruhusu hizi mienendo...
2 Reactions
5 Replies
175 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…