Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakika nimekuwa mlevi mkubwa wa JF mpaka najisahau na kutoa kamchina kangu popote bila kuangalia mazingira, jana jioni nikiwa naelekea mjini nikitokea Temeke kufika Mivinjeni nikakuta foleni...
2 Reactions
94 Replies
7K Views
Naomba kuwafahamu wanaoitwa wajasirimali wadogo , ni akina nani na je wamepatikana vipi , hili swali nimeliuliza baada ya kujiridhisha kwamba MA DC na MA RC ndio waliopewa jukumu la kuwapa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Asalaam alaykum,kuna taasisi inajitangaza kutoa mikopo ya FOCUS VICOBA inatumia jina lako,je mheshimiwa unaitambua?na nikweli ipo,kama ipo basi ebu funguka na kama haipo pia funguka coz kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wiki ijayo tarehe 17 disemba 2018 ninatarajia kuibeba familia yangu na kwenda Dodoma kula xmas na mwaka mpya. Kurudi lazima. Hata vyuma visagike. Wewe je?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaaam wana Jf,,,mm ni mtumishi serikalini idara ya Elimu(mwalimu),Nimekumbwa na swaibu la kuhamishwa kituo changu kipya ,Ambapo katika kituo hiki niliamia kutoka wilaya ya Ifakara nakuja wilaya...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa tafsiri ya picha na ujumbe alioutoa tunaamini ujumbe umefika, maana yake ni kwamba hata ukiwa kiongozi na baada ya uongozi au kuwatumikia wananchi utakuwa uraiani na utakuwa na uwezo wa kuwa...
11 Reactions
58 Replies
10K Views
Kuna dogo namjua amekuwa ndani ya top ten kwa Tanzania nzima form six (PCB) ila kakosa mkopo (nafasi kapata Muhimbili) kisa alisoma shule ya gharama, is that fair kweli wapendwa?
0 Reactions
45 Replies
5K Views
habarini Ndugu zangu,kiukweli ninalitoa hili kutoka moyoni.mshahara haukutani mwisho wa mwezi japo nina degree ya ualimu wa sayansi ila hela ni ndogo. sikufuru kuna wengi hawana kazi kwa sasa ila...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
Namsikiliza hapa mkuu wa mkoa wa mbeya anaitwa Chalamila Kupitia radio EFM Asubuhi hii anasema wao kama wakuu wa mikoa wamejiongeza hivi vitambulisho vya mh,Rais watapewa watu wenye sifa hizi ...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Precision imekumbana na kundi la ndege mchana huu ilipokua ikitua Mwanza.
2 Reactions
158 Replies
30K Views
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameziagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Wizara ya Fedha kutoza Kodi ya nyumba 10,000/= kwa nyumba ya kawaida, 20,000/= kwa Gorofa zilizopo Wilayani na vijijini...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu habari za huko mama land? Nimefika Joburg hapo jana tarehe 5 ilikuwa saa 8:15 Usiku kwa saa za huku. Namshukuru Mungu nimefika salama japo nimechoka balaa sababu nimekaa kwenye bus siku 4...
23 Reactions
123 Replies
14K Views
Amani Ni mazoea kusikia vitendo vya rushwa ya ngono vilivyoripotiwa vingi vimewahusu jinsia ya kike, Wafanyakazi,wanafunzi na hata wagonjwa na baada ya kuripotiwa kuna baadhi waliochukuliwa hatua...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wiki iliyopita Serikali ya Tanzania iliipa leseni Benki ya China Dasheng Bank inayokuja na mtaji wa Dola Milioni 40 Aidha, Rais Magufuli amekuwa akiisifia mikopo na misaada kutoka China kwa kauli...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kidumu chama cha mapinduzi "TRA msibugudhi hawa wamachinga wote wenye mtaji chini ya milioni 4, hata kama bidhaa zao zipo kwenye kibanda maadamu hazivuki thamani ya milioni 4 na hata mgambo...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Tarehe 14/02/2018 ambayo ni siku ya Wapendanao na kwa Wakristo wenzangu wa kanisa la Magharibi ni mwanzo mwa Kwaresma, Rais Dr JPJ Magufuli amemteua Maj Gen YH Mohamed kuwa Mnadhimu [Chief of...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Mfanyabiashara Mkubwa Arusha,Kamaljit Hanspaul (58) ametiwa hatiani na mahakama ya hakimu Mkazi ,Arusha na kuhukumiwa kifungo cha miaka 2 ama kulipa faini ya shilingi milioni 30. Hanspaul ambaye...
4 Reactions
44 Replies
17K Views
Hafla ya kuwaaga wanajeshi 14 wa Tanzania waliokuwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa waliouawa nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo imefanyika jiji Dar es Salaam mwaka mmoja uliopita tarehe...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Dear Wadau..Nataka Mwisho wa wiki nisafiri kutoka Dar kwenda mwanza mimi na mke na mtoto wa miaka 2.5..Je ni usafiri upi wa ndege ni reliable na chep.. kwenye mtandao inaonekana fastjet ninafuu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Traffic department inadaia madeni zaidi ya billion 15 na sasa hivi wameanzisha torch za usiku ambazo zita double mapato plus zitatoa ajira kwa majambazi yatakayojifanya traffic na kusimamisha...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…