Wajasiriamali wadogo ni akina nani , wamejulikanaje ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,625
218,056
Naomba kuwafahamu wanaoitwa wajasirimali wadogo , ni akina nani na je wamepatikana vipi , hili swali nimeliuliza baada ya kujiridhisha kwamba MA DC na MA RC ndio waliopewa jukumu la kuwapa vitambulisho hawa wanaoitwa wajasiriamali wadogo .

Kwa miaka mingi na hasa baada ya awamu hii ya 5 kushika hatamu wakuu wa mikoa na wilaya wamejipambanua kuwa watumishi wa ccm wasiojali raia wengine ambao siyo wanaccm , ni makada watiifu wa ccm wanaoendesha nchi kutokana na maagizo ya lumumba , tutawaaminije kama vitambulisho hivyo hawatavigawa kwa upendeleo wa chama chao ?

IMG-20180811-WA0018.jpg
 
View attachment 963462
Unakaribia kuokota makopo kwa sababu ya SONONA. Umeambiwa kigezo ni biashara isiyozidi mil 4 sasa wewe unataka tafsiri ipi tena?
 
Huu sasa ni upumbavu mkubwa,umeambiwa vitambulisho wanapewa wafanyabiashara wadogo ambao mtaji wao ni chini ya 4m halafu wewe kwa mawazo yako mfu unaleta upuuzi wa kisiasa.
Yaani unalia kabla ya kupigwa? kikubwa uonekane umepinga tu?
Chuki na kinyongo vitawaua wewe na wenzako kabla ya muda wenu.
Sir Khan
 
Tathmini ya mitaji itafanywa na nani ?
 
Una swali zuri sana lakin limekosa mantik baada ya kuingiza siasa

Na Mimi nina swali nataka kuongeza je ukiwa na chocho lako kariako unauza cm zisizozid milion 4 hutolipa kod au vip
hili jambo limeletwa kisiasa sana na kama hujaona sarakasi zake basi subiri
 
Naomba kuwafahamu wanaoitwa wajasirimali wadogo , ni akina nani na je wamepatikana vipi , hili swali nimeliuliza baada ya kujiridhisha kwamba MA DC na MA RC ndio waliopewa jukumu la kuwapa vitambulisho hawa wanaoitwa wajasiriamali wadogo .

Kwa miaka mingi na hasa baada ya awamu hii ya 5 kushika hatamu wakuu wa mikoa na wilaya wamejipambanua kuwa watumishi wa ccm wasiojali raia wengine ambao siyo wanaccm , ni makada watiifu wa ccm wanaoendesha nchi kutokana na maagizo ya lumumba , tutawaaminije kama vitambulisho hivyo hawatavigawa kwa upendeleo wa chama chao ?

View attachment 963462
Leo ndio nimegundua una ubongo mdogo sana
 
Na itakuwa "asavali" wakipewa ccm pekee. Na namshauri mfanyabiashara yeyote akitaka awatumie hao hao mburula walioko ccm badala ya yeye kuchukua hicho kitambulisho (maana wao wamezoea na wanaamini katika kutumika halafu majority ya watakaopewa hivyo vitambulisho hawana uwezo wa kung'amua mtego waliowekewa). Najua kila mfanyabiashara atakaesoma hapa atanielewa.
 
VP wale madon wenye maduka wanayoweka sample tu afu mzigo wanaweka stoo huon kama watatumia njia hii kujificha

Hana akili hiyo. Jiwe keshazoeleka na kila akifanyacho 99.999% atakosea. Na hata hicho kidogo atakachopatia ni kwa bahati mbaya tu.
 
Una swali zuri sana lakin limekosa mantik baada ya kuingiza siasa

Na Mimi nina swali nataka kuongeza je ukiwa na chocho lako kariako unauza cm zisizozid milion 4 hutolipa kod au vip

Nami pia nahitaji kufahamu hilo ,,,Ikiwa ni kadi tu itakuwa poa
 
Back
Top Bottom