Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Likizo ni ya siku kadhaa ni ya kushangaza. Mbowe na esita omona wa matiko muendelee kuwa gerezani mpaka pale tukakapomaliza likizo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari za jioni Hivi kauli ya jiwe kuwa yule mfanyabiashara mwenye mtaji usiozidi million 4 asibugudhiwe na mamlaka husika, mimi naona haijakaa vizuri. Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Swallamah wakuu, Maisha ni safari ndefu leo nimetimiza miaka 10 toka nisaini mkataba wa ajira hapa ninapofanya kazi, na cjawahi kujuta kufanyia kazi hapa. Ngoja niende moja kwa moja kwa point...
13 Reactions
66 Replies
10K Views
REJEA MADA TAJWA HAPO JUU KAMA KUNA MTU ANAUZA GARI TUWASILIANE, BAJETI YANGU NI 4.3M FIXED mawasiliano zaidi PIGA 0713774626. NIPO DAR. Tafadhali piga hiyo namaba itapendeza zaidi kama gari lipo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ulikuwa unashika nafasi ya ngapi ulipokuwa unasoma shule? Kwanza nianze binafsi nimesoma shule ya kata toka darasa la kwanza hadi kidato cha nne , licha ya uzero IQ wangu ile naanza skuli...
7 Reactions
85 Replies
4K Views
Mama wa kibongo anaweza kukuita ukatoe vyombo alivyolia upeleke kwenye sink, Alafu na yeye anainuka unaongozana nae kwenda kunawa huko kwenye sink. Only kwa wamama wa kibongo Je tabia gani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Brazzaville / 10 December 2018: Tanzania is the first confirmed country in Africa to achieve a well-functioning, regulatory system for medical products according to the World Health Organization...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Yani tulicho kosea nchi zinazo endelea ni kujiunga nahizi taasisi za haki za binadamu ndo zinazo tutudisha nyuma, Wakoloni wao waliona wamesha endelea wametumia mababu zetu kiasi hawana shida nao...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia zimekubalina kuendelea kuimarisha programu za Mpango wa Elimu kwa walioikosa (MEMKWA) na Mpango wa Elimu Jumuishi baada ya Kumaliza elimu...
0 Reactions
4 Replies
865 Views
Yule jirani anayedhaniwa kupenda kale kamti ambaye pia nikiongozi wa majirani zetu, alitwiti kitu hiki ila kilichokuwa kinakomentiwa du nishiiida.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina cha kuandika ila nashindwa ... Sijui kama ndoto huwa inadanganya
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapana shaka ukwepaji kodi katika maeneo mengi bado ni mkubwa sana. Wafanyabiashara Wa maduka kwenye msongamano mkubwa Wa watu kama vile Kariakoo Jijini Dar es Salaam na maeneo mengine kama hayo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika kitabu cha mwanzo kinaeleza kuwa Mwenyezi Mungu alimuumba Adam na Hawa na wao wakawazaa Kaini na Abel. Kitabu hicho kinaeleza Kuwa baada ya kain Kumuonea wivu nduguye Abel, Alimuuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ameeleza kuwa, Wanasheria wa Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wataanza kupitia mikataba ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Baadhi ya Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu Dar wameanza kuhojiwa kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa Wanafunzi Kamati Maalum iliyoundwa kuchunguza vitendo hivyo...
9 Reactions
96 Replies
20K Views
Kumekuwa na malalamiko ya kutokupatiwa mishahara kwa wafanyakazi wa kampuni ya NEW HABARI . Yaani kulipa watu stahiki zao imekuwa ni suala la huruma ya mwajiri kwa kigezo cha kampuni kutokuwa na...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Mwaka 1960 serikali ya kikaburu ya Afrika Kusini ilifanya mauaji ya halaiki kwa raia wasio na hatia waliokua wanaandamana kupinga udhalimu wa serikali hiyo kwa watu weusi. Mauaji hayo maarufu...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Lushoto. Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema angetamani simu za mikononi zipigwe marufuku kwenye vyuo vya kati na vyuo vikuu nchini kwa kuwa vinawapotezea muda wa kusoma...
6 Reactions
104 Replies
12K Views
Usipokuwa tayari kusikiliza stori ndogo ndogo za mwanao leo akiwa mdogo, akikua utatamani akwambie mambo yake muhimu lakini hatokuwa tayari. Unayoyaona madogo leo kwa mtoto ni mambo mazito...
1 Reactions
1 Replies
996 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…