Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"Tunawaletea walimu shuleni kwenu kwa kulingana na idadi ya wanafunzi" Kauli hii hutolewa na viongozi wa TAMISEMI. Habari zenu ndugu zangu!! Kuajiri walimu kulingana na idadi ya wanafunzi kuna...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
WATU wawili wamefariki dunia Mkoani Morogoro baada ya mtu aliyedaiwa kuwa na ugonjwa wa akili kumuua ndugu yake na kisha naye kujinyonga walipokuwa kwa mganga wa kienyeji kwaajili ya kupata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania imepata madaktari bingwa wanawake (Dr Aingaya Kaale na Dr Happiness Rabiel) wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu kwa Mara ya kwanza. Madaktari hawa wamesoma Katika chuo...
13 Reactions
115 Replies
19K Views
Barabara za kinondoni na ilala nyingi kwa sasa zina rami tofauti kabisa na wilaya ya temeke hasa maeneo ya mbagala Sijaju hi inatoka na ubora wa viongo wa hizo manispaa na madiwani wao maana...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Heading yajieleza vyema kabisa.. Maeneo ya Jiji la TANGA Kijana mdogo tu wa miaka 24 katoka kwenye Misele huko akiwa na Gari anaDRIVE. Huku na huku, kagonga Bodaboda akiwa amepakia Abiria kwa...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakuu Habar? Nilikuwa nasikia kigodoro/ kanga moja/ wanawake wanakatika uchi na bia n.k kwa maandalizu ya harusi au sherehe usiku a.k.a vigodoro Leo saa 8 usiku nimeshuhudia live maeneo ya...
1 Reactions
65 Replies
18K Views
9-year-old black girl kills herself after classmates bullied her for being friends with a white boy A 9-year-old girl has committed suicide after her schoolmates bullied her for being friends...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nimeamua kufikiria mbali sana baada ya kusikiliza hotuba ya Mh Rais wa JMT JPM kuwa walitangaza tender kimataifa ikakaa bila kupatikana mzabuni lakini akajitokeza Egypt kujenga huo mradi...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Sheria ya manunuzi ya mwaka 2011 ipo wazi. serikali ikitaka kununua lazima itangaze tenda watu/makampuni yaombe na yashindanishwe .mshindi nadiyo anapewa kazi husika. juzi tumeshuhudia uzinduzi...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
December 12, 2018 by Global Publishers WATU wawili wamefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa huku sita kati yao wakiwa na hali mbaya baada ya basi la Royal Classic waliokuwa wakisafiria, kuacha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya hiyo, Rukia Muwango amesema kuwa walioza zao hilo bila ya kuwa na mashamba wajiandae kisaikolojia kwani hawatolipwa Zimekuwepo taarifa kuwa wauzaji wa zao hilo wanapaswa kuonesha...
1 Reactions
147 Replies
19K Views
Wakuu Salaam. Naamini mko salama, na kwa wale mliopata nafasi ya kuhudhuria ibada ni matumaini yangu mmekuwa na ibada njema. Moja kwa moja kwenye swali langu, Je! Kuvuta sigara ni dhambi...
2 Reactions
106 Replies
14K Views
China has urged East African countries namely Kenya, Uganda, and Tanzania to hand over the management of their capital cities for five years so that they can develop them. Huyu mwandishi wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Madereva 20 wa bodaboda wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kushambulia basi la mwendokasi kwa kupasua vioo kwa mawe katika eneo la Tip Top Manzese...
4 Reactions
151 Replies
25K Views
limetahadharisha kuwa, benki 6 nchini #Tanzania zipo hatarini kuanguka kutokana na kutokuwa na fedha za kujiendesha (undercapitalised). IMF imesema tatizo hilo limezidi kuikumba sekta hiyo nchini...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ndo msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza. Nchi ya tano kwa uchumi mkubwa duniani, bila shaka kuna jambo la kujifunza kwa viongozi wetu wa nchi changa za kiafrika especially sisi Tanzania.
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Wanajamvi salamu kwenu, Habari za Ndani naza uwakika zinasema Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro Mikoa yenye Vyanzo vya Utalii wakati wowote waendeshaji wa Makampuni na wadau wanaoshugulika na...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Natanguliza shukrani wakuu, najua hapa tupo tofauti na kila mmoja ana uelewa wake, mi nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kujua ni wapi nitaweza i download hii movie au Tamthiliya inayoitwa Sultan...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Samanjiro kwa tiketi ya Chadema, James Ole Millya, ambaye sasa amehamia CCM ametaja sababu za kuhama chama hicho kuwa ni kwa naslahi ya wabanchi wake. Amlisema Jimbo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi hawa watu ingekuwaje kama wangefanya haya hapa Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…