Shirika la Fedha Duniani (IMF)

Shirika la Fedha Duniani (IMF)

Pozzers

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
337
Reaction score
560
limetahadharisha kuwa, benki 6 nchini #Tanzania zipo hatarini kuanguka kutokana na kutokuwa na fedha za kujiendesha (undercapitalised). IMF imesema tatizo hilo limezidi kuikumba sekta hiyo nchini, na kupelekea Benki 6 kufungwa na BoT Januari 2018.
 
Serikali ina hazina mpaka ya fedha za kige,kauli hii aliisema kiongoz mmoja
 
Back
Top Bottom