Waswahili wana msemo 'Hujafa hujaumbika'

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,492
22.jpg

Kila siku katika maisha yako hakikisha unafuata sheria na hujiweki au kufanya jambo katika mazingira ambayo yatahatarisha uhuru na usalama wa maisha yako.

Kweli misemo ya kiafrica ukiifuatilia mingi ilikuwa ina maana sana ingawa siku misemo mingi hatuitumii sana katika maisha ya kila siku.
 
View attachment 966488

Pia kuna misemo mingine kama aliye juu msubiri chini .
 
Hivi huwa hawaruhusiwi kunyoa au kunyolewa hizo ndevu kwa mtu aliyezoea kunyoa kila wiki c atakuwa anateseka sana nauliza tuuu wajuzi mtuambie kweli ruge akose kokodi hata kinyozi bora singasing alikuzoea kuachia ndevu kama beberu
 
Methali ambayo ingefaa zaidi hapa ni "Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu" au "Mkataa pema pabaya panamwita"

Hiyo nyingine ni kama mtu amepata kilema au badiliko lolote katika maumbile yake.
 
Merhali ambayo ingefaa zaidi hapa ni "Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu" au "Mkataa pema pabaya panamwita"

Hiyo nyingine ni kama mtu amepata kilema au badiliko lolote katika maumbile yake.
ok nimekupata uzuri....
 
Hivi huwa hawaruhusiwi kunyoa au kunyolewa hizo ndevu kwa mtu aliyezoea kunyoa kila wiki c atakuwa anateseka sana nauliza tuuu wajuzi mtuambie kweli ruge akose kokodi hata kinyozi bora singasing alikuzoea kuachia ndevu kama beberu
wanaruhusiwa ila nadhani wao tu kuamua...
 
Singasinga kapona maradhi yake yote, yuko fit. Utajiri wakati mwingine unaua.
 
Kwa asili napenda sana MZAHA, lakini si mzaha juu ya haki na ustawi wa watu wengine. Mabaraza ya wasio haki ni chukizo mbele ya Mungu asiyependa upendeleo.
 
hapa hakuna mzaha ni ukweli mtupu hujafa hujaumbika wewe unafikiri kuna siku hawa wawili walifikiri inaweza ikatokea siku moja wanaweza kulala hayo maeneo....
 
Kawaida sana hayo Angefungwa kikwete, Magu au Mkapa ndio kungenoga hawa ni kawaida na pengine wameonewa tu
 
kwahiyo kwa Kikwete Magu au Mkapa wakipelekwa mahakani watakuwa hawajaonewa ila hawa tu ndo wanaonewa........
 
Hiyo ni ajali kazini ni kawaida sana kwa binadamu,hata we hapo mtoa post chochote na saa yoyote usishangae ukaenda kuungana nao.
 
View attachment 966488

Kila siku katika maisha yako hakikisha unafuata sheria na hujiweki au kufanya jambo katika mazingira ambayo yatahatarisha uhuru na usalama wa maisha yako.

Kweli misemo ya kiafrica ukiifuatilia mingi ilikuwa ina maana sana ingawa siku misemo mingi hatuitumii sana katika maisha ya kila siku.
Ww kiherere unajionaga upo salama sana kua huko ulko,nan alikuambia kufuata sheria hakuwez kukufanya ukawa gerezan? Manji alfanya nn kama sio uonevu?
 
Ila kama umefuatilia vizuri watu wakienda jela wasipoumwa huko wakitoka wanakuwa na afya nzuri...hii nimeona mtaani ninapokaa, pia marapa wengi wa marekani (e.g Guccimane) na sasa huyo mdosi Seth ... Maharage yafanyiwe utafiti zaidi
 
Back
Top Bottom