Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamsaka dereva wa kampuni ya kichina, Charles Ndossy(30) mkazi wa jijini Arusha kwa kosa la kutoweka na gari la Kampuni ya Sinhydro Corporation Ltd lenye no.T 784...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
If there is any orphan in any public university who is at the verge of dropping out because of financial difficulties, tell such person to send his or her mail to: a2foundation@yahoo.com. Spread...
2 Reactions
31 Replies
21K Views
Wakuu Kwa siku za hivi karibuni nimejikuta ni mtu mwenye hofu, woga na kufikiria sana pasi na kuwa na majibu ya ndoto zinazoniijia kwa ndani ya siku tano tu kuwa nimeota ndoto tatu zikiwa na...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Kufuatia kauli ya mh. Jafo kutishia kuzichukua billion 50 ZA ujenzi wa stendi ya kisasa Mbezi mwisho/luguruni na pia ameeahidi kunyang'anya fedha ZA ujenzi wa Hospitali ktk kila halmashauri ZA...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu. Naamini mmeamka salama salimini. Baada ya salamu, naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja. Ndungu zangu mnaotegemea kusafiri kwa kipindi hichi Cha sikukuu za Xmass na...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
TANZANIA INATISHA! Ukisoma hii stori hapa chini ndio utajua ni vipi Tanzania inatisha! Biashara ya madini Duniani, imekamatwa na familia MBILI tu za Kiyahudi.Moja ikijielekeza kwenye madini ya...
5 Reactions
14 Replies
5K Views
Shirika la ndege la FastJet linahujumu sisi wasafiri hasa kipindi hiki cha sikukuku. Shirika limefuta safari zake zote na kuwataka abiria wenye ticket kuwasiliana na ofisi zao ili warejeshewe pesa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani niliwai kusema azam tv wamejaliwa vipaji vya watangaza mpira, nasema tena miongoni mwao huyu mpenja ninamba moja,wala cjui walimtolea wapi maana huyu mbaba ni shidah tupu anayebisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
[http://img2] Meli Mpya ya Kampuni ya Usafiri wa Baharini ya Sea Star yenye uwezo wa kubeba Mizigo Tani 1,400 na Abiria 1,500 imewasili Bandarini Zanzibar kwa ajili ya kuongeza huduma za Usafiri...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Siku za karibuni kumekuwa na mjadala mkali kuhusu ushoga. Walio wengi katika kutoa maoni yao wameegemea kwenye miongozo ya kidini na maadili ya Mtanzania. Pia siku za karibuni Bunge la Ulaya na...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Hakika niliposikia suala la Fastjet kufungiwa nilishangaa sana lakini nikajua kabisa Hii jamaa kaona ndo njia sahihi ya Kupata abiria wengi na maana halisi ya Vita ya uchumi.. Lakini sijui ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Alisema hatafika mwisho wa 2018. Naona time is ticking out! Bado siku 14! Tuombe Mungu tufike 31/12/2018 usiku wa saa 6:59999999999999999999999999999999999999999999999999999999 na ikimpendeza...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanzania na hasa viongozi hawaelewi wanataka nini na hawataki nini. Huwezi kumkadiria kodi mfanyabiashara na kumtaka aanze kulipa kodi wakati hajafungua biashara na hajapata faida haya ni mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Naomba ufafanuzi kuhusu risiti hii..sioni sehemu ya VAT. Kuna sehem pia imeandikwa not registered
2 Reactions
52 Replies
16K Views
Yani huwezi kuamini kwamba ile ishu ya Membe ishaanza kupoteza mvuto...duh ile ishu ya korosho hivi nayo imeishia wapi? Duh nakumbuka zile ishu za kuandamana na Mange kimambi.... Zile ishu za...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Wanajamvi naomba anayejua anayemiliki majengo yaliyoandikwa sophia house anijulishe maana yametapaa kila kona. Kuna maofisi, mahoteli, magodown m.k
0 Reactions
27 Replies
49K Views
" Ndugu Mwandishi nimekuwa nikipata taarifa mbalimbali tena za ndani kabisa hata baada ya Kustaafu Kwangu hivi kuwa kama kuna nchi ambayo kwa sasa ni ' Tishio ' Kijeshi / Kimedani pamoja na...
2 Reactions
73 Replies
8K Views
Jamani niko hapa nasikiliza clouds duuh! Mambo ni motoo 🔥🔥🔥🔥 Hao wasafi watasubiri Fiesta dar/East Africa is back Kama na wewe unasikiliza/ulisikiliza achia comment yako like muhimu Hii ni kwa...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu miaka ya hivi karibuni kumekua na katabia ka wazazi kutafuta majina ya kuwapa watoto wao yanayoanzia herufi moja. Mfano mtoto wa kwanza akiitwa Ritha basi watakaofuata wote watatafutiwa...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Wateule wengi wamekuwa wakitoa matamko yasiotekelezeka hasa pale wanapokuwa na vyombo vya habari. Yaani mteule wiki moja ikipita bila kuonekana kwenye taarifa ya habari atajiona kama hatoshi...
2 Reactions
3 Replies
809 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…