Time is ticking out! Sheikh Musa vs Mange

Time is ticking out! Sheikh Musa vs Mange

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,009
Reaction score
104,473
Alisema hatafika mwisho wa 2018. Naona time is ticking out! Bado siku 14! Tuombe Mungu tufike 31/12/2018 usiku wa saa 6:59999999999999999999999999999999999999999999999999999999 na ikimpendeza apishe mbali!
 
Sasa hivi nchi haina viongozi wa dini (Si kwenye uislam wala ukristo).

Sikatai mungu ni wetu sote, ila sidhani kama atapokea dua za masheikh wanafiki wanafiki kama huyo kiumbe.[emoji53] [emoji18]

Viongozi wa dini wanaona mapicha picha yote yanayofanyika, ila wamelaza mikia yao.
 
Yani huyu sheikh eti ni wa mkoa, alijipa hiki cheo au alipewa?! Sijawahi kusikia sheikh wa wilaya. Hivi dini nayo inafuata mipaka ya kisiasa.
 
Alisema hatafika mwisho wa 2018. Naona time is ticking out! Bado siku 14! Tuombe Mungu tufike 31/12/2018 usiku wa saa 6:59999999999999999999999999999999999999999999999999999999 na ikimpendeza apishe mbali!

Zilikuwa porojo tu za Maalim!!! Mange atatoboa 2018!!!
 
Mange ameshasalimu amri. Yupo kimya kwa sasa. Anakuza watoto wake badala ya kupoteza muda kushughulika na makamanda uchwara.
 
Yani huyu sheikh eti ni wa mkoa, alijipa hiki cheo au alipewa?!

Huyu ndiye mganga wa Bashite, wakamlisha matango pori Jiwe kuwa akimfukuza kazi Bashite na yeye URAIS basi na Jiwe nae akameza hilo tango pori na ndio maana Bashite anafanya anavyotaka!!
 
Back
Top Bottom