Wanajamvi naomba anayejua
anayemiliki majengo yaliyoandikwa sophia house anijulishe maana
yametapaa kila kona.
Kuna maofisi, mahoteli, magodown m.k
ili iweje?
ili iweje?
Una uhakika?ni SOPHIA SIMBA
ni SOPHIA SIMBA
Ally Hassan Mwinyi
ni SOPHIA SIMBA
Hapana / Siyo kweli
Ni kweli / Ndo jibu sahihi
Injinia mkuu akiwa Bi. Sitti aliyekuwa jambazi la kutisha wakati mumewe akiwa madarakani. Nafikiri mnakumbuka enzi za Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alipokamata maiti Airport ikiwa imejazwa dhahabu kwenda Uarabuni na mwenye biashara hiyo akiwa huyo mama.
ni SOPHIA SIMBA
Wanajamvi naomba anayejua anayemiliki majengo yaliyoandikwa sophia house anijulishe maana yametapaa kila kona.
Kuna maofisi, mahoteli, magodown m.k
Anaitwa SOPHIA.
Mbona jina linajieleza
Sofia House ni maneno ya kiingirishi kwa tafsiri ya kiswahili ni Nyumba ya Sofia. Nilitegemea labda swali lako lingekuwa ni Sofia yupi?