Barack adson mpenja naludia tena wewe nikiboko.

Barack adson mpenja naludia tena wewe nikiboko.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,321
Reaction score
2,029
Samahani niliwai kusema azam tv wamejaliwa vipaji vya watangaza mpira, nasema tena miongoni mwao huyu mpenja ninamba moja,wala cjui walimtolea wapi maana huyu mbaba ni shidah tupu anayebisha angalie mechi ya yanga na ruvu shooting leo .
 
Watangazaji mpira Tanzania ambao rekodi zao hazijavunjwa ni Omari Jongo na Charles Hilary, hawa wa sasa hawatangazi mpira Bali huchambua mpira kwa hisia zao na kupoteza radha ya mchezo
 
Huyu mbabaishaji tu anatangaza kimahaba ,huyo ni yanga lialia
 
Watu wa YANGA na mtangazaji wao!
 
ha ha wakumbuke na magoli ya habibu kyombo yanga wakipewa zawadi ya nww year na mbao pale kirumba
 
Ezekiel malongo pekee ndio mtangazaji aliyekua anajua nini maana ya kutangaza mpira wa miguu.then charles hilary na mzee Ahmed jongo
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Back
Top Bottom