Duh!"VRN not registered" - maana yake huyo aliyekuuzia bidhaa hajasajilia kwenye VAT
Sio kila mfanyabiashara kasajiliwa VAT, na si kila EFD machine inakata/kuongeza VAT.View attachment 553434 Naomba ufafanuzi kuhusu risiti hii..sioni sehemu ya VAT. Kuna sehem pia imeandikwa not registered
Sasa hivi ni mpaka uwe na mauzo ya jumla tzs 100m kwa mwaka.VRN inategemea na mauzo ya mwezi,zamani ilikuwa kwa wenye mauzo zaidi ya mil. 20, wanatakiwa wasajiliwe vat, co kila mwenye TRN anasajiliwa registered vat...
Ni duka kubwa sana la vifaa vya ndani ikiwemo mapazia.. Kapeti, cartens n. K.. Kwa dizaini hii nahisi maofisa wa TRA wanakula vyao ili wakupe hzo EFD ambazo hazikati kodi..Sio kila mfanyabiashara kasajiliwa VAT, na si kila EFD machine inakata/kuongeza VAT.
Hapo uliponunua huyo mfanyabiashara hajasajiliwa kukuusanya VAT kwasababu moja au nyingine, sababu ya kawaida ni kuw mauzo yake ya jumla kwa mwaka hayafiki tzs 100m.
Efd yenye VAT ni mpaka mauzo kwa mwaka yafike tzs 100m.Ni duka kubwa sana la vifaa vya ndani ikiwemo mapazia.. Kapeti, cartens n. K.. Kwa dizaini hii nahisi maofisa wa TRA wanakula vyao ili wakupe hzo EFD ambazo hazikati kodi..
maduka mengi kariakoo wanafika mauzo ya 100m ila kuna udhaifu tra na loopholes zinazofanya baadhi ya wafanyabiashara kama huyo wasisajiliwe kwenye vat.Efd yenye VAT ni mpaka mauzo kwa mwaka yafike tzs 100m.
Ni kweli usemavyo.maduka mengi kariakoo wanafika mauzo ya 100m ila kuna udhaifu tra na loopholes zinazofanya baadhi ya wafanyabiashara kama huyo wasisajiliwe kwenye vat.
Hio ni risiti halali kabisa. Efd zipo za ambao ni Vat registered na za ambao hawajasajiliwa kama huyo hapo, na wote wanatakiwa watoe risiti ili mwisho wa siku watozwe kodi sahihi badala ya kukadiriwa.Huyo hajasajiliwa VAT, hiyo risiti haihusiani na kodi, pengine ni ya kuzugia tu ili aonekane anatoa risiti kumbe holla
hajasajiliwa vat ila kama wanunuzi wakikomaa kupewa risiti baada ya muda mauzo yake yatasoma 100m and above na kupelekea kusajiliwa kwenye vat.Huyo hajasajiliwa VAT, hiyo risiti haihusiani na kodi, pengine ni ya kuzugia tu ili aonekane anatoa risiti kumbe holla
kinachoshangaza watu ni hiyo risiti kutokua na VAT wakati bidhaa alizouza zinatozwa VAT, na mnunuzi kasema duka lina mauzo yanayolifanya kuwa wakala wa VAT...Hio ni risiti halali kabisa. Efd zipo za ambao ni Vat registered na za ambao hawajasajiliwa kama huyo hapo, na wote wanatakiwa watoe risiti ili mwisho wa siku watozwe kodi sahihi badala ya kukadiriwa.
ni muhimu atoe risiti kwa ajili ya kumbukumbu pia akifika mauzo ya 100m mfumo utaonyesha na kupelekea kusajiliwa kwenye vat.Sasa kuna haja gani yakulazimisha mashine za risit wakati hakusanyi vat
Sent using Jamii Forums mobile app
TRA wana mfumo wa kukusanya mauzo kwa style hiyo kabla ya kumwandikisha mfanyabiashara kukusanya VAT?hajasajiliwa vat ila kama wanunuzi wakikomaa kupewa risiti baada ya muda mauzo yake yatasoma 100m and above na kupelekea kusajiliwa kwenye vat.
Una maana gani ukisema bidhaa alizouza zinatozwa VAT?kinachoshangaza watu ni hiyo risiti kutokua na VAT wakati bidhaa alizouza zinatozwa VAT, na mnunuzi kasema duka lina mauzo yanayolifanya kuwa wakala wa VAT...