Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mapenzi raha,kama una nguvu za kufanya.kama huna basi utaishia kupapasa.
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Wahitimu wa mlimani katika faculty ya Civil Engineering hawana manufaa yeyote katika ujenzi na uboreshaji wa standard life ya jamii yetu. Toka kuanzishwa kwa fucalty hiyo sijaona kitu chochote cha...
29 Reactions
217 Replies
31K Views
Mimi sionywi na mtu yeyote, naonywa na Mungu na Yesu pekee, hata mkuu wa kanisa (Dkt. Shoo), hawezi kunionya, mimi ni mtu mzima, tunakaa tunaongea na si kuandikiana barua. Askofu mstaafu wa Kanisa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Wana JF! Katika sakata hili linaloendelea la kufungiwa wimbo wa "Mwanza Nyegezi" kutoka usafini WCB na jinsi walivyokuwa wanajibizana mitandaoni kati ya WCB na Basata hiyo jana, nimepata...
3 Reactions
62 Replies
13K Views
mtu anadai milion 7 kama malimbikizo ya pesa za likizo Unamlipa laki 1 kama sehemu ya pesa kisha unasimama kwenye kikao tena cha chama chako unadanganya umelipa madai ya walimu? madai au sehemu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati huu wa Christmas nikijiandaa kwa safari ya nchi takatifu ya Israel mimi Johnthebaptist nawatakia Christmas njema wanasiasa wote hapa jamvini na wale wanajf wa kawaida. Nawatakia sikukuu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo mengi niliyoyapanga hayajafanikiwa kwa sababu umenipa AFYA njema nimeyahamishia mwakani, TUJIFUNZE KUSHUKURU KILA JAMBO SIO KAZI KULALAMIKA TU KAMA VICHAAA
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari ndio hiyo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Uchaguzi, Uchaguzi. kutokana na gharama kubwa Naomba tumuombe Rais Daktari John Joseph Pombe Magufuli Pesa zote za uchaguzi tuelekeze kumalizia miradi husika ili vizazi vijavyo na vya sasa vifaidi...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kina mama na kina dada mlio olewa acheni kuchukua mikopo bila ya kuwashirikisha waume zenu, mnafanya siri mwisho wa siku siri inasanuka. Imetokea mkoani Kilimanjaro Wilaya ya Hai, kuna Mama...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Yes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!
5 Reactions
81 Replies
14K Views
Habari za wikiend wapendwa wangu.. Mimi nimuajiriwa katika sector fulani serikalini,.. Kazi niliyonayo kwakweli ina changamoto sana. Yaani kuipata nafasi ya kula bata ni nadra sana,.. Hivi...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Mkuu wa mkoa wa singida atekeleza kazi aliyoagizwa na mkuu wake ya kugawa vitambulisho vya ujasiriamali kwa wafanyabiashara wadogo wadogo . Kazi hiyo imefanyika katika ukumbi wa rc mission...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MTU MMOJA AMEJINYONGA NYUMA YA BODI YA KOROSHO MKOANI MTWARA. Mtu huyo mwenye jinsia ya kiume, bado ananing'inia kwenye mti wa Muarobaini kwenye kichaka kilichopo nyuma ya jengo la BODI YA...
6 Reactions
82 Replies
14K Views
Wapendwa wana JF napenda kufahamu, hasusani wanasheria. Hivi kupanda madaraja kwa watumishi wa umma ni suala la kisheria; kikanuni; au ni utashi tu wa mwajili? Nafahamu mwajili anapopanda daraja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumshukuru Mungu kwa mema yote aliyotujalia katika kipindi chote cha mwaka 2018; Tuwashukuru wazazi wetu kwa yote mazuri waliyotutendea wakati tukiwa watoto pia tuwape faraja katika uzee wao...
1 Reactions
3 Replies
742 Views
BREAKING NEWS WASIRA AZUIWA KUINGIA KWENYE KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KINACHOFANYIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM KWA KILE KILICHODAIWA NI TAARIFA ZA SIRI KUHUSIANA NA YEYE KUPINGA MAAMUZI YA...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kat yao siti ni moja na wao wapo wa4 kila mmoja anaitaka na anaona ni haki ake, utampisha nan na kwa sababu gani? Picha chini yahusika
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Milenia Trump akiwalisha watoto wa Tmbo alipofanya ziara nchini Kenya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…