Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

BASATA kama mnaweza kukomesha vigodoro na singeli huku mtaani baadhi yetu vinakera, wamama, wadada na watoto wadogo wa kike wanakatika viuno vyao wengine uchi, wengine madela uchi hadi kero...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ingetokea Bongo hii makuwadi wa ushoga na soko huria, wangetoa famko la page 200[emoji3] SOMA SASA HAPO[emoji652]️ 7-year-old migrant girl taken into Border Patrol custody dies of dehydration...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Tangu nilipoanza kupata ufahamu ,kunakitu huwa sikijui vizuri ni kile kitendo cha mtu akifa na siku ya mazishi yake ndugu na jamaa huitwa kwa ajili ya kutupia mchanga kabulini je kitendo hiki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania kama ilivyo ada katika ubora wenu kulaumu... hii sasa ni fursa yenu kuweka zile lawama zenu juu ya viongozi na serikali kama kawaida yenu..... Ngoja niwafungulie dimba kwa kuanza na...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekutana na mlimbwende wa nchi hiyo ambaye hivi majuzi ameshinda taji la mlimbwende bora wa Afrika. Quiin Abenakyo alitawazwa kuwa Miss Uganda mwezi Agosti na...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Mara leo imewahukumu Watuhumiwa wanne wa ujambazi wa kutumia silaha kutumikia kifungo hicho jela Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi, Staneley Mwakihaba...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za mda wadau Kwa kusikiliza hotuba za muheshimiwa mkuu wa nchi, kwa wale wakazi wa dar es Salaam wajiandae kisaikolojia kwamba mkoa utakuja kuwa wa gharama zaidi kuliko ilivyo hivi sasa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Kiumbe anayeweza kuishi baharini na katika nchi kavu amepewa jina la Rais wa Marekani Donald Trump, ingawa huenda kiongozi huyo asitake kuhusishwa na kiumbe huyo kutokana na sifa zake. Amfibia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa 44 wa Marekani Barack Obama leo imethibitika bado anapendwa na raia wengi wa Marekani baada kufanya ziara kushtukiza na kupokewa kwa shangwe na furaha katika hospital moja katika jiji la...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Huu mpambano WA Basata vs Diamond furaha kwa kunguru (Wakenya) Basata nàona wanakipeperusha chanzo cha mapato ya nchi tukumbuke show moja nje ya nchi jamaa analipwa 160+ mil wkt kodi 48mil+ Pia...
1 Reactions
0 Replies
717 Views
Habari zenu wapendwa, poleni na majukumu ya kila leo. Wale ambao kiafya hali siyo nzuri ni imani yangu mungu yu mwema na mkono wake usiopungua rehema, atawaponya. Wale buheri wa afya, tuzidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, poleni na majukumu ya kila leo. Wale ambao kiafya hali siyo nzuri ni imani yangu mungu yu mwema na mkono wake usiopungua rehema, atawaponya. Wale buheri wa afya, tuzidi...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Yule HR (Jinamizi) alieacha kesi kibao na kufukuzisha kazi watu kule kwenye shirika la World Vision, sasa kaleta tafrani kubwa kwenye shirika la PACT-Tanzania..tayari wafanyakazi zaidi ya 40...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Nimesikitishwa sana juu ya taarifa ya kutenguliwa kwa usajili wake kaka yangu, rafiki yangu na kiongozi wangu Alphonce Lusako katiika chuo kikuucha Dar Es Salaam. Ikumbukwe Lusako alifukuzwa...
2 Reactions
44 Replies
9K Views
Ni ajabu na kweli..hapa kwangu nina ndugu yangu ananisaidia kuhudumia mifugo huku akisubiri matokeo ya kidato cha nne. Dogo anashida kubwa ya ngozi aliipata shuleni alilala kwenye godoro la...
1 Reactions
13 Replies
17K Views
Na kwa sababu ya ugumu wa kujigundua, ndio maana imeliza watu wengi *Naweka hapa mambo kadhaa TUJIPIME SOTE KAMA TUNA DALILI ZA KIBURI AU LA:-* *1. UKIONA, KILA UKIONYWA UNAKASIRIKA NA KUNUNA...
23 Reactions
68 Replies
11K Views
Apa NMB naona foleni ndefu sana ya walimu,kitu mshahara tayari.Ila mkumbuke january ni mwezi dume.
12 Reactions
37 Replies
4K Views
Vijana ni kundi muhimu katika jamii yoyote. Katika jamii nyingi vijana ni kundi linalojifunza na kujenga hatima na sura ya jamii. Hivyo ili kuwa na jamii iliyo imarika ni muhimu kuwa na kundi la...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Copy and paste kutoka forum nyingine: Habari wana Jamvi, Nadhani mmekuwa mkiona matangazo ya kazi kila mara yanayohusiana na shirika la World Vision Tanzania. Katika mashirika mengine hali kama...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Je, miradi mikubwa ya miundo mbinu kuendelea kuwekezwa Dsm ndiyo dhima ya mabaliko ndani ya CCM au ni kukosa mikakati na mipango mahususi kumkwamua maskini? Tunajua wazi asilimia zaidi ya 90 ya...
1 Reactions
3 Replies
829 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…