Kila mmoja asimamie msimamo wake nini kitatokea??

Kila mmoja asimamie msimamo wake nini kitatokea??

tanzanitemusiba

Senior Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
137
Reaction score
90
Huu mpambano WA Basata vs Diamond furaha kwa kunguru (Wakenya)

Basata nàona wanakipeperusha chanzo cha mapato ya nchi tukumbuke show moja nje ya nchi jamaa analipwa 160+ mil wkt kodi 48mil+

Pia Diamond akipiga show zake Kenya kama matangazo yake yanavyoendelea ktk mitandao atafanyiwa figusu inawezakana kabisa akapoteza passport Tz na kufungiwa akaount zake zote

Kenya watatumia hiyo fursa kumpa uraia Fasta ili atangaze nchi yao na kwa sababu jamaa anataka afanye show za kimataifa lazima akubali ili apewe passport ya Kenya

NB Basata huu mziki mtauludisha nyuma miaka 20 iliyopita.

Wekeni idara ya kutunga mashairi+ video Shouting pale Basata kila msanii aje kuchukua, kuepusha mvutano lkn Diamond akihamia Kenya mtakuwa mmetukosesha raha sana mashabiki wake na mtawafanya wasanii wasiopendwa na redio mawingu waendelehe kunyanyasika kwa sababu ya kukosa pakukimbilia
 
Back
Top Bottom