Wanajf tujadili hili,
Ukiachilia mbali mambo ya diplomasia na uhuru,hebu tujadili maisha na hari ya watu kwa ujumla hasa kipindi hiki cha kuelekea sikukuu
Kwa upande wangu naona watu wamekubaliana...
Watu wengi wamekuwa wakishangaa kauli za Rais wetu.
nyingi ni za kawaida sana kwa aina ya kundi ambalo Rais yupo. hawa watu wanahitaji akili nyingi sana kuwaelewa
Mimi nimeona kwenye mambo mengi...
Salaam wana JF na kwenu TANESCO,
Mimi kama mteja wa hili Shirika napata tabu sana juu ya hizi luku mpya.Maana ninalazwa kwenye giza ili hali token numbers za kuwe kwenye mita ninazo.Tatizo ni...
Kuna mtu anasema Kitila Mkumbo na wenzake wamepigania sana vyeo vyao humu Jamii Forums. Nilimbishia kwasababu kuna watu wengi hufanya hivyo ili kulinda maoni yao yasibebwe na mtu mwingine, na pia...
Leo nimekwenda sehemu ya majohe kata ya ukonga kupitia njia ya Kampala University, hakika sikuamini kama ile barabara ipo ndani ya DSM, barabara ni mbovu sana, na inasemekana haijafanyiwa...
HABARI ZA USIKU NDUGU ZANGU WANA JF.
TANGU SAA 11:40 TUMETOKA KIBAHA MAILI MOJA HADI SASA SAA 4: 20 NDIO TUNAFIKA MBEZI MWISHO. YAANI NI MATESO!!! NA BADO, SIJUI UBUNGO TUTAFIKA SAA NGAPI?
Nimefuatilia video ya huyu mdogo wake Rostam Aziz bwana Akramu akipelekwa kisutu na kutolewa akipandishwa kwenye karandinga
Nimeshangaa mtuhumiwa huyu muda wote amekuwa akitabasamu na kuonyesha...
Sitaki kuwachosha, niwape mifano michache tuu:
1. Bakhresa Group of Companies/Makampuni ya Bakhresa yanajulikana kwa sababu ya bidhaa zake. Hayana umaarufu kwa sababu ya mmiliki wake. Leo hii...
Kama Wewe Ni Mtumiaji Wa Choo Cha Kukaa Na Huna Dharula yoyote Niamini Mimi Asilimia 98% wewe ni mchafu
Hotel [emoji544] kubwa zote Tanzania [emoji1241] hii asilimia 99% kuna Vyoo Vya...
Ujenzi wa bee house kikale, mradi wa nyuki wa wanachama wa Namaingo upo mbioni kukabidhiwa kwa wanachama.
Uwekezaji mkubwaa kuelekea Tanzania ya viwanda ekari zaidi 2800 za mikoko zaingia katika...
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kunywa kwa wingi energy drinks wakitumia hvyo wakidhani huo mbadala wa chakula.
Sijajua if elimu ya kutosua inatolewa kwa nguvu kazi hii ya taifa mana...
(Deuteronomy 34 )
------------
5 5 So Moses the servant of the LORD died there in the land of Moab, according to the word of the LORD.
6 And he buried him in a valley in the land of Moab, over...
Na Francisca Emanuel
MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Anna Mwaisumo (23) na mpenzi wake Samson Kisuguta (28), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka...
Ujenzi wa bee house kikale, mradi wa nyuki wa wanachama wa Namaingo upo mbioni kukabidhiwa kwa wanachama.
Uwekezaji mkubwaa kuelekea Tanzania ya viwanda ekari zaidi 2800 za mikoko zaingia katika...
Niomba kufahamu ni Taasisi gani inayosimamia Tafiti hapa nchini na bajeti yake ipoje. Je Tafiti ambazo zimeshanywa Hadi Sasa kuhusiana na Maendeleo zinapatikana wapi mtu akitaka kuzisoma?
Je...
Unalikuta jitu linakaa Dar maiaka 10 hata kwenu ndugu zako wamekusahau mwisho wa mwaka ndoo huu embu tujitoe kimasomaso japo tukakutane na wazazi watupe baraka zao