Viwanda 100 kila mkoa bila shaka limesaidia kupunguza tatizo la ajira.
Yaani kama kila kiwanda kipya kikiajiri vijana wanne kwa viwanda mia moja kwa mkoa piga hesabu.
Viva magufuli kwa kuja na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha,limewatoa hofu wananchi katika kusherehekea sherehe za Xmass na Mwaka mpya kwa kuimarisha ulinzi na usalama maeneo yote ya jiji la Arusha na Viunga vyake .
Akiongea...
Ingawa wameshawafungulia ila kiukweli hawa jamaa hawastahili kwa sababu hizi hapa...
1.hawakuonyesha utii wa aina yoyote coz waliendelea na promotion ya Tamasha lao richa ya kuzuiliwa.
2.kuomba...
Sehemu mbalimbali duniani mtazamo kuhusiana na matumizi ya mmea wa cannabis yaani bangi unabadilika kwa kasi.
Serikali mpya ya Mexico ina mpango wa kuhalalisha matumizi ya bangi kama njia ya...
Nyang’hwale. Kama ulifikiri kumuoa mwanafunzi aliyeacha shule kwa kupata ujauzito na kujifungua kuwa utakuwa salama utakuwa unajidanganya.
Imeelezwa kuwa Wilaya ya Nyang’hwale itaanza kupima...
Leo nimekutana na hii kitu kuwa Hawa jamaa wanakuuzia mbegu ya pilipili Kisha wanakupa mkataba wa kuhakikisha soko
wanachofanya Ni kukuuzia mbegu ambapo heka moja inahitaji mbegu ya laki 3 na nusu...
Nchini Nigeria ,ni nadra sana kwa huduma za afya kutolewa bila malipo hivyo kama mtu huwezi kulipia huduma hiyo basi hataruhusiwa kuondoka katika kituo hicho cha afya baada ya kuhudumiwa.
Swali...
Mkiwa kama wafungwa wa kis..sa, itakuwa vizuri mkajumuika pamoja na wafungwa/mahabusu wengine huku mkipata chochote katika kusherehekea siku hio na mkachukua picha za kumbukumbu za tukio hilo.
Na...
Ajay Sawant ni kijana aliye na miaka nane ambaye alienda umbali kukutana na mwanasayansi anayemuenzi Sir Martyn Poliakoff huko Nottingham. Prof Poliakoff,alimuonyesha Ajay jinsi ya kuunda athari...
Mambo haya matatu mtu yakimuandama hataweza kuishi kwa furaha timilifu maisha yake yote na badala yake atakuwa anapata furaha ya muda tu au furaha awapo kwenye tukio tu.
Dhambi: Dhambi ikimzonga...
Kufuatia tukio la kujiua kwa kijana Musa Ally aliyejirusha kutoka juu ya Jengo la Rock City Mall huko Mwanza, nitoe rai fupi.
Musa ameacha ujumbe unaoashiria kuwa sababu ya kujiua kwake ni kukosa...
Wenzangu niko IFM mwaka wa tatu, nimepata dili kwenda Greenland Nina wazungu ambao tutakuwa wote takriban miaka 10 , nimeona kuna uwezekano wa kuacha chuo nikapewa HIGHER DIPLOMA IN ACCOUNTING IFM...
Mtandao wao tangu jana haupo vizur kabisa had leo,, kwa Tpesa wala kupiga wala kutuma meseji WALA intaneti,
Mbona mshindani wao VODA yupo vizuri ni mara chache kuwa na karaa kama hizi?? Tofauti...
Mfanyabiashara mashuhuri nchini Iran anayefahamika kama "Sultani wa Bitumen", amenyongwa baada ya kupatikana na hatia ya kutoa rushwa na kujihusisha na ufisadi.
Hamidreza Baqeri Darmani...
Moja ya kauli za Rais Wetu Magufuli "TUJIAMINI" bila shaka anamaanisha na anaongea kwa kujiamini sana,bila shaka nasi wananchi inabidi tujiamini.
Ingawa nchi inapitia kipindi kigumu kidogo ila...
Niko hapa Iringa kwenye mishe za maisha.
Nimeshuhudia my best friend akimpa mtoto wa s/msingi nusu glass ya bia na dogo anaonyesha mzoefu...jamani hapana bwana hii si sawa sawa.
Nimealikwa hapa...
Developing the right mindset is very crucial to succeed in anything.
But what is Mindset?
Your mindset is the sum of your knowledge, including believes and thoughts about the world and yourself...