Mbowe na Ester Matiko,kesho siku ya Christmas pigeni picha ya ukumbusho ya pamoja nyie na mahabusu wengine mkisherehekea Christmas

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Mkiwa kama wafungwa wa kis..sa, itakuwa vizuri mkajumuika pamoja na wafungwa/mahabusu wengine huku mkipata chochote katika kusherehekea siku hio na mkachukua picha za kumbukumbu za tukio hilo.

Na kama mnaruhusiwa kusali huko mahabusu, basi mjumuike kwa pamoja kwa sala fupi na msisahau picha za kumbukumbu unless kupiga picha hairuhusiwi.

TunahitajI picha hizo kama kumbukumbu ya matukio ya kuingia katika historia wakati wa kutafuta uhuru kwa mara ya pili na kupigania demokrasia.
 
Huko mahabusu hawana simu, jiongeze kuwa na akili hata za kuvukia barabara!
 
Back
Top Bottom