Acheni kufundisha watoto ulevi...

Acheni kufundisha watoto ulevi...

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Niko hapa Iringa kwenye mishe za maisha.
Nimeshuhudia my best friend akimpa mtoto wa s/msingi nusu glass ya bia na dogo anaonyesha mzoefu...jamani hapana bwana hii si sawa sawa.
Nimealikwa hapa Niko kwenye maandalizi ya sikukuu ninachikiona hapa ni ngumu mtoto wa ki......ga kuikwepa pombe...
Sasa sijajua huko walikoenda kuhusabiwa hali ikoje....
 
huwenda hata mnyweshaji alianzishiwa dozi akiwa mdogo
 
mwenyewe nakumbuka nikiwa mtoto kabisa tunatoka kondoa tunaelekea kilimanjaro nakumbuka nilikuwa napewa pombe kali kabisa na nilikuwa nangangania... mpaka hii leo hiij nimekua muumini wa ichi kinywaji kinacho levya
 
Acha ujinga ,,ko kampeni yako inataka TBL Ifungwe halafu nchi ikose kodi?... Tusinunue dreamliner?.. Tuache kujenga ma flyover
 
mimi nilianza kunyweshwa bia na shangazi yangu kisirisiri saaaana mdingi asijue nikiwa darasa la kwanza ila kwangu ni marufuku kunywa pombe mwanangu akiniona....kuna wazazi au ndugu huaribu watoto wakiwa wadogo, bora shangazi aliolewa nikiwa la tatu la sivyo chuo kikuu ningeishia kuona majengo kwa mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom