Ivi huu mtandao wa Tigo leo vi

Ivi huu mtandao wa Tigo leo vi

Nuraty J

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,724
Reaction score
3,834
Mtandao wao tangu jana haupo vizur kabisa had leo,, kwa Tpesa wala kupiga wala kutuma meseji WALA intaneti,

Mbona mshindani wao VODA yupo vizuri ni mara chache kuwa na karaa kama hizi?? Tofauti na wao ni mara kwa mara mtandao wao unakuwa na karaa,, nimegundua kingine tigo kila msimu wa siku kuu mtandao wao unasumbua miaka ya yote, acha karaa za siku za kawaida,

Wajirekebishe jamani, lol
 
Wateja wa Tigo tunalalamika sana, mapungufu hayafanyiwi kazi, lakini bado hatuhami.

Ni imekuwa kero mno,,wacha mimeseji yao toka namba 1570 kila muda wanakutumia mfululizo,,mara sijui jibu swali magufur Rais wa wapi,, mara sijui lumumba buku saba ndio nini,,yaani upuuzi mtupu,,,,
kwa siku mimeseji inafika hata efu moja,,
tofauti na wenzao hawana kero hizo kabisa,,maana wengine tuna laini zote,,

Ivi hii mimeseji yao ya karaha kama Rais anatumia laini ya mtandao wao pia wanamtumia au namba zake wanazo hawathubutu kumtumia ujinga,, maana sipati picha hizi meseji zao za karaa wakimtumia NGOSHA kama hajawashukia km mwewe
 
khaaa kumbe kuna shida ya mawasiliano kweli?bas nimetoka mpigia hubby ova yy customer care😜..mie umeandika kbs no services..shenji gete
 
Hivi mtoa mada unamaanisha tigo mtandao, au ile tigo ingine
 
Back
Top Bottom