1. Kodi ya Watu
2. Ada ya Watoto
3. Hujamalizia Madeni ya Watu
4. Kuna Kuugua
5. Kila Hawara anakuangalia Wewe
6. Maisha ya sasa Tanzania hasa Kiuchumi hayatabiriki
7. Kuingia Undatani / Polisi...
Sometimes najiuliza sana kama ningekuwa peke yangu duniani ningefanya nini, au siku unaamka asubuhi huoni mtu yeyote wala sauti wala huoni matumaini ya kukutana na mtu yaani mwanadamu na...
Jumamosi asubuhi nilihamisha hela kwa NMB Mobile toka account yangu ya benki kuja kwenye namba ya simu kwa njia ya MPesa jumla ya shilingi laki mbili. Toka hiyo Jumamosi hadi Leo Jumatatu hela...
Wakuu Heshima yenu.
Natafuta mwalimu wa kunifundisha kupiga ngeta au roba ili kuweza kua fit kwenye kujilinda.
mimi kazi yangu ya kwenda kushusha matenga ya nyanya kariakoo hivo natakiwa kua fit...
Matokeo ya kesi ya jana yanawasha taa nyekundu kwa mjanja mjanja Lukuvi. Ikumbukwe awamu ya 4 alipata tuhuma nyingi za rushwa kwa kulazimisha kuwa partner kwenye uwekezaji wa majengo na wafanya...
Pengine ukiongea na mtu kuhusu nguvu za uchawi, atakujibu kwa mkato, "Siamini mambo hayo".
Lakini ukweli ni kwamba nguvu za uchawi zipo na zinafanya kazi na pia zinapoelekezwa kwako ni lazima...
Habarini za muda huu wana jukwaa,nianze kwa kuwatakia kheri ya sikukuu ya x-mass.
Ningependa kujua zaidi kuhusu nchi ya hungary,maisha yao,miji mizuri kuishi,chakula,culture,nk nk
Karibuni sana...
Kumekuwepo na imani kuwa ukipiga maji unaweza kuongea kienglish kwa ufasaha kuliko wakati ambao hujanywa pombe. Nafikiri hii inatokana na zile yes yes nyingi ambazo wanyaji huwa wanatamka wakati...
Siku chache baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kumuahidi Rais John Magufuli kuwa mwaka 2020 atamkabidhi mkoa ukiwa na viongozi wote wa Chama cha Mapinduzi, Chadema imelaani kauli...
Hii text inatembea ma group ya whatsapp.
TAHADHARI KWA WALE MTAKAOENDESHA MAGARI YENU BINAFSI KWENDA MIKOANI. Jeshi la polisi limefuta utaratibu wa kulipa faini ndani ya siku saba baada ya...
Siku chache baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kumuahidi Rais John Magufuli kuwa mwaka 2020 atamkabidhi mkoa ukiwa na viongozi wote wa Chama cha Mapinduzi, Chadema imelaani kauli...
"Wasiopenda kufanya kazi na kulipa kodi ndio watalalamikia uongozi wako (Rais Magufuli) maana wanataka vya ubwete, au maisha ya mkato.. ila mie binafsi nafurahishwa na uongozi wako maana sio mtu...
Siku chache baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kumuahidi Rais John Magufuli kuwa mwaka 2020 atamkabidhi mkoa ukiwa na viongozi wote wa Chama cha Mapinduzi, Chadema imelaani kauli...
Wakuu binafsi nimekuwa mpinzani mkubwa wa hii campain ya uzazi wa mpango ama nyota ya kijani.,
Nimekuwa mpinzani sabbu ya madhara ya matumizi ya njia mbalimbali ambazo wanawake huwa wanaelekezwa...
Wakuu binafsi nimekuwa mpinzani mkubwa wa hii campain ya uzazi wa mpango ama nyota ya kijani.,
Nimekuwa mpinzani sabbu ya madhara ya matumizi ya njia mbalimbali ambazo wanawake huwa wanaelekezwa...