Msema kweli mpenzi wa Mungu

Msema kweli mpenzi wa Mungu

lakini kama mna afya za kutosha na amani inatawala nyumbani kwako yote kheri tu,
labda matatizo yatakapokuja kuanzia ukutwe unadaiwa na kodi ya nyumba tena, hapo ndio itakuwa kuisoma namba hakuepukiki
 
Kheri ya chrismasss,

Jamani msema kweli mpenzi wa Mungu, mwenzenu siku kuu imenijia vibaya,, Kwa kifupi miezi miwili ya mwisho wa huu mwaka ni mbaya kwangu,, ila yote ni changamoto za kawaida Kwa mwanaume na binadamu yoyote,,
Ila siku kuu kwangu ni mbaya,, hapa familia Leo nahisi itashindia Maji na nna ugeni wa bi Mkubwa, yaani nimehamka na efu mbili tu mfukoni....
Maisha kiukweli hayatabiriki ususani kipindi iki,
Sifa za wenye kupenda usemi wa "Msema ukweli mpenzi wa Mungu"

1. Hawajiamini
2. Ni watu katili sana
3. Waongo waliokubuhu
4. Wanapenda kusifiwa sana na kuonewa huruma
5. Wezi sana lakini hujifanya malaika
6. Hujiona wana akili kuliko watu wote.
7. Huweweseka sana kwa vitu vidogo vidogo tu.
8. Unafiki ni jadi yao.
 
[emoji849][emoji849][emoji849]
 
sawa
 
Back
Top Bottom