Ombi langu dogo tu ' tusheherekee ' kwa uangalifu sana huku tukijua ya kwamba mbele yetu kuna yafuatayo....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,926
1. Kodi ya Watu
2. Ada ya Watoto
3. Hujamalizia Madeni ya Watu
4. Kuna Kuugua
5. Kila Hawara anakuangalia Wewe
6. Maisha ya sasa Tanzania hasa Kiuchumi hayatabiriki
7. Kuingia Undatani / Polisi huwa ni bure ila kutoka ni kwa Mtonyo / Pesa

Nawasilisha
 
Namba 5 na namba 7 zinanihusu sana
 
Na>
Msilaumu.jpeg
 
Kuna mtu alinitishia krismas hii sitaiona, jana ndio ilikua 40 yake, ni hayo tu.

BTW hii ni maalum zaid kwa wale wanaosikia kale ka mlio pendwa ka
"ptaa ptaa ptaa ptaa ptaa ptaa ptaa" mara moja kwa mwezi, uki force kurudi mala ya pili utakutana na msg, utasababisha foleni na mwisho kusumbuana na mlinzi.
Na ukikubali kukopwa mwezi huu, hio ngoma subiria March.
 
1. Kodi ya Watu
2. Ada ya Watoto
3. Hujamalizia Madeni ya Watu
4. Kuna Kuugua
5. Kila Hawara anakuangalia Wewe
6. Maisha ya sasa Tanzania hasa Kiuchumi hayatabiriki
7. Kuingia Undatani / Polisi huwa ni bure ila kutoka ni kwa Mtonyo / Pesa

Nawasilisha
3. Sidaiwi
4. Natumia mwarobaini
5. Sina hawala waoiga virungu
6. Hainihusu
7. Nipo mashambani kwenye amani na utulivu tele.

NB:
Ni angalizo zuri sana. Mwenye macho na alisome neno hili, ashirikishe na akili zake kulielewa.
 
Kodi Ya Nyumba Na Ada Ya Watoto Ni Ya Kupewa Kipaumbele. Watu Wanakula Mpaka Wanasahau Yafuatayo Ndiyo Yanahitaji Pesa Lazima. Sikukuu Hii Si Lazima Utumie Fedha Nyingi Kula, Kunywa Na Kuvaa Kwa Siku Moja Tu, Kuna Fedha Ni Lazima Zitoke Baada Ya Sikukuu
 
1. Kodi ya Watu
2. Ada ya Watoto
3. Hujamalizia Madeni ya Watu
4. Kuna Kuugua
5. Kila Hawara anakuangalia Wewe
6. Maisha ya sasa Tanzania hasa Kiuchumi hayatabiriki
7. Kuingia Undatani / Polisi huwa ni bure ila kutoka ni kwa Mtonyo / Pesa

Nawasilisha
Sawa Mkuu! Ila Hivi Ni 'TUSHEHEREKEE' Au Ni 'TUSHEREHEKEE' Maana Lugha Nayo Inasumbua Kidogo!
 
Mwezi huu ukijitunza vizuri financially, January na February unakuwa vizuri sana hali ya kuwa wengine watakuwa wanachechemea.
 
Back
Top Bottom