Ndio Trick ya Kuomba Msamaha Basata?

Ndio Trick ya Kuomba Msamaha Basata?

Juuchini

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
1,968
Reaction score
2,832
"Wasiopenda kufanya kazi na kulipa kodi ndio watalalamikia uongozi wako (Rais Magufuli) maana wanataka vya ubwete, au maisha ya mkato.. ila mie binafsi nafurahishwa na uongozi wako maana sio mtu wa ahadi, ni mtu wa vitendo, yaani unalolisema unatekeleza haswa"
By DiamondPlatinumz
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kulipa kodi kusimfanye awe na kiburi na kutotii mamlaka
 
"Wasiopenda kufanya kazi na kulipa kodi ndio watalalamikia uongozi wako (Rais Magufuli) maana wanataka vya ubwete, au maisha ya mkato.. ila mie binafsi nafurahishwa na uongozi wako maana sio mtu wa ahadi, ni mtu wa vitendo, yaani unalolisema unatekeleza haswa"
By DiamondPlatinumz
Mbona hakusema mapema?
 
Wamebugi leo kuleta mtumba wao maana simba ndo habari ya town
 
hahaha nimeona leo wcb wakionyesha live kuja kwa ndege yetu pendwa
 
Basi jiwe akiona hivi atampigia simu Dr. Mwakyembe awaamuru Basata wamfungulie kijana haraka sana.

Hahahaha! Kama namuona jiwe vile anavyo tabasamu.
 
"Wasiopenda kufanya kazi na kulipa kodi ndio watalalamikia uongozi wako (Rais Magufuli) maana wanataka vya ubwete, au maisha ya mkato.. ila mie binafsi nafurahishwa na uongozi wako maana sio mtu wa ahadi, ni mtu wa vitendo, yaani unalolisema unatekeleza haswa"
By DiamondPlatinumz

Usidanganyike na watu kama Zitto, Magufuli ni noma.
 
"Wasiopenda kufanya kazi na kulipa kodi ndio watalalamikia uongozi wako (Rais Magufuli) maana wanataka vya ubwete, au maisha ya mkato.. ila mie binafsi nafurahishwa na uongozi wako maana sio mtu wa ahadi, ni mtu wa vitendo, yaani unalolisema unatekeleza haswa"
By DiamondPlatinumz

Ni sawa tu kwan yy tu nadhani ndiye mwanamuziki anayelipa kodi TZ
 
Sifa huponza kichwa.. Jiwe ni mlafi na mchoyo wa sifa. Hata jitihada za Mwenyekiti wa kijiji kujenga choo cha zahanati akiitwa DC atamsifu Jiwe
 
Back
Top Bottom