Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi hapa nchini Jenerali Venance Mabeyo ametoa wito kwa Viongozi wa Dini nchini kuendelea kuhubiri amani ili kujenga jamii iliyo bora yenye kudumisha upendo na mshikamano...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jf naomba kueleweshwa juu ya dawati LA jinsia kwa sababu namba ya wanaume wanaokimbia miji yao kwa ajili ya kunyanyaswa na wake zao idadi yao inazidi kuongezeka ukienda machimboni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nahitaji kuita press conference nizungumzie masuala mbalimbali yanayonikera hapa duniani. Hivi napaswa kuomba kibali polisi? Msaada tafadhali
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanawake wa zamani walikuwa wakinunua nyama hata iwe kilo moja walikuwa hawapiki yote, ni lazima walikata kiasi kwa siri kumbakishia mzee kwa ajili ya kumchomea kidogo kidogo siku za mbeleni...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
1. Auze Mandege yote, kisha pesa hizo azipeleke kuboresha kilimo. 2.Asitishe mara moja mradi wa reli mpya maana hauna tija zaidi ya kuliongezea taifa hasara. Zaidi angejikita kufufua reli...
17 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wanajamvi! Natumia simu aina ya Tecno Spark K7, kwa siku kadhaa nimeshindwa kutumia app ya Facebook kwa sababu inanipa pop up notification kwamba kuna matatizo ya mtandao kwenye simu yangu...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Mhe. Rais ameeleza kuwa hakuna nchi barani Afrika imewahi kununua ndege Airbus 220-300, hii inatafsiri kwamba ndege hii ni ghali Sana? Je ni kwamba hazifai kwa mazingira ya Afrika?Siyo nzuri...
29 Reactions
144 Replies
24K Views
National Housing wamejitahidi sana kujenga nyumba zenye ubora sehemu mbalimbali ndani ya nchi yetu katika mikoa mbalimbali lakini nyumba hizi zimekuwa zikikaa bila wapangaji wala wanunuzi kwa muda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JamiiForums Jiji la dar es Salaam limeshika kasi ya unukaji kila kona baada a magari ya wadau waliokuwa wanaondoa uchafu kusimamishwa kwa muda usiojulikana. Sisi tuliona magari ya uchafu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana JF, bila shaka mmemaliza salama siku kuu ya Christmas na Leo ni tarehe 27/12/2018. Ndugu wanaJF wenzangu nichukue nafasi hii kuwakumbusha kuwa kuna umuhimu sana Wa kuweka malengo...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Upende usipende, habari ndio hiyo. Muda huu making yupo live kwenye TV na redio nyingi kubwa bila kusahau mitandao ya kijamii. NI kwamba jamaa amedraw attention ya nchi na hivo kufanikiwa kuvuka...
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Maisha uliyoyaishi mwaka huu na miaka ya nyuma yatatueleza huko mbeleni kuna nini kama ni uovu ni vema tukatubu sasa na kuomba rehema ila tusiyarudie tena. Kila unalo lipanga na kuamua kutekeleza...
1 Reactions
3 Replies
892 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu wa hapa JF. Kwa kuwa mheshimiwa rais hakuwepo katika shughuli za kuaga miili ya askari wa TPDF waliouawa nchini DRC kutokana na kuwa na majukumu mengine ya...
4 Reactions
93 Replies
12K Views
Alikuwa akiitwa Hutaki Unaacha. Alikuwa akitoa nondo nzito humu ndani za Serikali. Mara ya mwisho alionekana humu mwaka 2013 akidai anaenda safarini na akirudi atatujuza mambo nyeti lakini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu huu ni uzi maalumu kwa hawa wakongwe wawili ambao nimekuwa nikifatilia maandiko yao.ni Mshana Jr na FaizaFoxy. Leo naomba wanishauri katika mambo yafuatayo na watoe maneno yao ambayo...
11 Reactions
212 Replies
19K Views
bado mda mchache tumalize 2018 kwenda 2019.ila kuna mambo ambayo yanaweza kuwa kimataifa na si kimataifa.au uzito wa jambo fulani na sijambo. mimi kwangu yanayo funga mwaka 2018 1-fastjet vs ATCL...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dereva anakuta abiria wamejazana kituoni (Fire) wakisubiri usafiri na hapo wamekaa karibu dakika 40 ati anashushia abiria kituo cha wanaokwenda kivukoni basi linabaki tupu lile kundi la abiria...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Asha Ali Abei (55), diwani wa zamani wa kata ya Nyerere amejinyonga hadi kufa usiku wa kuamkia leo Jumatano Desemba 26, 2018. Akizungumza leo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Madaktari bingwa nchini Saudi Arabia wafanikiwa kuwatenganisha Watoto mapacha raia wa Tanzania waliokuwa wameungana Watoto hao Maryness na Anisia wamefanyiwa upasuaji huo na jopo la wataalamu 32...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…