Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamtafuta mwanamke anayefahamika kwa jina la Queen Mbuba kwa tuhuma za mauaji ya mume wake, Shizya Mwangwale (35), mkazi wa Kijiji cha Igunda, Wilaya ya Mbozi...
Mtu mmoja aitwae Mwajuma Mohamed Mkule Mkazi wa Mtaa wa Mibobo Kata ya Nanyamba Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoani Mtwara, amejitosa kwenye kisima Cha maji
Tukio hilo limetokea May 23,2026 Mibobo...
Miaka ya sitini katikati kulikuwa na mzee mmoja anauza genge pahala,
alikuwa ni maarufu sana,
Hivi majuzi nimekutana nae na cha jabu alikuwa amevaa shati lile lile maarufu, nikadhani labda...
Habari wanaforum!
Je inahitaji siku ngapi kabla ya safari yako kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi kama mtumishi kwenye mfumo wa e-vibali?
Na documents gani zinahitajika?
Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma.
Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
Kufanya rehearsal ni kufanya mazoezi kabla ya kitu fulani. hapa namaanisha, Je ukitaka kuongea kitu fulani na mtu huwa unajiongelesha kwanza kichwani kwako maneno utakayo sema ?
Au ukitaka...
👉Chanzo halisi cha uumbaji wa dunia bado ni mjadala mkubwa wenye mitazamo ya dini, sayansi na falsafa.
👉Siri ya maisha baada ya kifo imeendelea kuwa fumbo linalowagawa wanaoamini mbingu...
Nisaidieni mawazo jamani.
Sijawahi kwenda kwa mganga.
Juzi natoka geto kwenda kwenye kibanda changu nikakutana na buku mbili njiani. Nikarudi geto nikachukua chumvi ya mawe nikaimwagia...
Uhakika ni kwamba kande lipo tiyari kwa ajiri ya maandalizi ya sabato hapo kesho.
Mkiwa katika shamrashamra za kuipokea Sabato Takatifu naombeni mtuweke wazi leo hii.
Kwa miaka kazaa katika...
Kwenye biblia tunaambiwa king Solomon alikuwa ameoa wanawake miasaba (700) huku akiwa na michepuko 300
Najaribu kuwaza je huyu jamaa aliweza kweli kuwapa haki ya ndoa wanawake wote hao?
Kama...
Ujumbe kwako wewe mwanaume wa leo, mwanaume mramba lipsi, mwanaume mrembuaji, mwanaume unae amini eti mabadiliko ya sayansi na technologia yatakubadilishia maisha yako (sayansi na technologia scam...
Mk 1:28 SUV
[28] Habari zake zikaenea mara kotekote katika nchi zote kandokando ya Galilaya.
Kuenea kwa habari za Yesu ni kutokana na miujiza aliyokuwa anaifanya katika maeneo mbalimbali...
Ukifa hutatamani tena kuishi duniani.
Hutatamani kuishi tena duniani kwa sababu utakuwa hujui chochote kinachoebdelea.
Hali inakuwa sawa na vile ilivyokuwa kabla ya kuzaliwa.
Ni hayo tu!
Watanzania wengi wanadhani kiswahili cha neno Dam ni bwawa. Wakisikia Mtera Dam basi wanajua kuwa kiswahili chake ni bwawa la Mtera.
Ukweli ni kuwa dam ni ule ukuta unaojengwa kuzuia maji...
Nilidhani magumu tunayo sisi ambao tunakunywa pombe na kuchoma nyama.
Unachukua kinywaji kikali unafanya ukemia alafu maisha yanaendelea.
Nashangaa na nyie msiokunywa watumishi wenzangu wa...
Nimegundua Watu wa Aina niliyoitaja hapo Juu,Hawajulikani kabisa Hapa Dar es Salaam,sijajua sababu ila nadhani matajiri wa hapa Dar wanapata media Coverage nyingi na pia wanapata connection nyingi...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza kwa sheria za kampuni hapa tanzania kuna uwezekano wa kusajili kampuni ambayo ni single member company, kwa maana ya kuwa Director ndo huyo huyo share holder?
Kuna...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Sidi Ould Tah kando ya Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo...
Na Mwandishi Wetu.
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim amemshuru Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa , Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kupendekeza jina lake na Kamati Kuu...