Chuma ulete. Nimejichanganya

Chuma ulete. Nimejichanganya

yeheda maukweli

New Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
2
Reaction score
7
Nisaidieni mawazo jamani.

Sijawahi kwenda kwa mganga.

Juzi natoka geto kwenda kwenye kibanda changu nikakutana na buku mbili njiani. Nikarudi geto nikachukua chumvi ya mawe nikaimwagia nikaiokota. Kwanzia hapi kila jioni nikipiga hesabu. Pesa zinapelea. Pesa ukirudia kuhesabu zunapelea tena kila siku. Nisaidieni kabla sijaanza kwenda sehem zisizo sahihi.
 
Sasa ww unaeweza kuajiriwa taasisi tofauti tofauti unasema hvy, je mm ambaye n taasisi moja au mbili tuu Tz nzima niseme nn 😂
Hata nida ulikosa? Utakoma! Mimi huu mwezi mzima nimehudhuria! Next week namalizia ya Ifm basi najitoa rasmi kujihususha na mambo ya kitanzania🥲
 
Hata nida ulikosa? Utakoma! Mimi huu mwezi mzima nimehudhuria! Next week namalizia ya Ifm basi najitoa rasmi kujihususha na mambo ya kitanzania🥲
Mm Jmos nna written, em ngoja nione 😂

Mm bado nipo nipo bado sijachoka kupambana japo nachoka 😂
 
Back
Top Bottom