Wakubwa naomba niwakumbushe kuwa, mshahara tuliochukua mwezi Dec 2018 ndio unatakiwa utufikishe 25 January 2019. Hapa kati kati hakuna mshahara mwingine bali kuna watoto kwenda shule, Ada, sare...
wahenga naomba nifahamishwe utaratibu unaoutumika kuwapatia viongozi wetu wakubwa kama vile rais,waziri mkuu,makamu wa rais,spika nk. hati za kusafiria yaani passport.
Kwa utaratibu uliopo kwetu...
Jeshi la polisi katika mkoa wa Kagera linamshikilia Octovian Valentine Mengere mkazi wa mtaa wa Kamizilente katika halmashauri ya manispaa ya Bukoba ambaye ni mlinzi wa kituo cha afya cha Nshambya...
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kinondoni, Mussa Abdallah Embe amezitaka 'Guest House' zote kutoruhusu wanandoa wasio na cheti cha uthibitisho kulala kwenye nyumba hizo za wageni, na ikigundulika kuwa...
Hivi tundu lisu na magufuli mzalendo wa kweli ninani jamani ?
tendu lisu alitetea watu migodini bureeeeee walioonewa huku serikali ya ccm ikiwepo tena kwa upande onezi leo Hii tundu lisu mnasema...
Wanachama kila mwezi wanachangia pesa kwenye mifuko hiyo.
Leo hii hawa jamaa wa mifuko wanadai mifuko iilikuwa inaelekea kufa.
Ni ukweli usiojificha kama jinsi mh Rais alivyosema kuwa mamiradi...
Habari zenu wakuu...
Niliomba appointment na mtumishi flan ambaye ni maarufu tu hapa Dar (Nabii) akaniambia yeye anakutana na waumini wake kila siku lakini ili nionane naye ni lazima nitoe kwanza...
Habar za jioni wanaJF mliopo Pemba Chake mi mgeni wenu ndio naingia.
Naomba mwenyeji jamani kama yupo anifuate private na humu naomba tufahamishane wapi pa kutembelea Chake.
Kidumu chama cha mapinduzi
Zikiwa zimebaki dakika chache kabisa tuufikie mwaka 2019 naomba niongee na vijana wenzangu watanzania kidogo kwa sauti ya utulivu kabisa.
Wiki mbili zilizopita...
Habari wote, kwa kifupi naomba msaada juu ya mawazo yenu, nimeumizwa saana na mume wangu katika uaminifu wa ndoa, nimengundua mume wangu si muaminifu hata kdg nimeona mpka video akiwa guest na...
Nakumbuka vizuri ccm katika hali ya kutafuta kuendelea kuwa madarakani, waliwatumia baadhi ya waislam, wakapanga kwenye ilani yao enzi za kikwete akiwa mgombea kwamba, atawapatia mahakama ya kadhi...
Ni utamaduni wa mda mrefu watu wa kabila hili wanabatiza miaka Tu kama motisha ya watu mbalimbali Kwa mwaka huo.sijui ni watu gani hupanga kubatiza mwaka jina Fulani .Ila cha ajabu wahaya wote...
Habarini wakuu?
Mbona kuna viongozi tuliaminishwa washahamia Dodoma ila kila siku wapo Dar?
Maana yake makao makuu ya ofisi zao yanakua Dom na Dar, huu ni utumiaji mwingine wa kodi zetu vibaya...
Kumbuka kuna maisha baada ya hizi sikukuu
so usikombe pesa yotee January tukaanza
kuangaliana kwa macho ya kutia huruma..
Wahuni wanakwambia wiki Hii ukijifanya
mwanaume wa shoka, January lazima...
Mara baada ya mkuu wetu kutengua suala la 25% kumeibuka genge la ndumila kuwili ndani ya chama na kuanza kumuunga mkono mkuu wetu. Bila kukumbuka kuwa wao ndio waliopitisha mswaada huo.
Wamo...
Shirikisho la mashirika ya waandishi wa habari, IFJ imetoa idadi ya waandishi wa habari na wafanyakazi wa tasnia ya habari waliouawa mwaka 2018 imepanda na kufika 94.
Miongoni mwa hao 84 walikuwa...
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imefanikisha kutopeleka mgonjwa wa moyo kwenda nje ya nchi kwa matibabu kwa mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...
kiukweli namshukuru mwenyezi mungu kuniwezesha kuuona mwaka lakini kila nikikumbuka kuwa bado kuna namba natakiwa niendelee kuzisoma naishiwa pozi .
Jamani mliopewa dhamana ya kutuongoza...
Za jioni badungu. Sina sim yangu nauza,aina ni tecno L8 lite. Sim bado imetumika mwezi mmoja2. Risiti yake IPO, kiujumla iko kamili. Nilinunua laki2 ila Now nauza laki na50. Mwenye kuitaji...