Waislamu mpaka Leo mahakama ya kadhi inawauma sana

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Nakumbuka vizuri ccm katika hali ya kutafuta kuendelea kuwa madarakani, waliwatumia baadhi ya waislam, wakapanga kwenye ilani yao enzi za kikwete akiwa mgombea kwamba, atawapatia mahakama ya kadhi endapo atashinda katika uchaguzi ulioonekana upinzani kuja kwa kasi nchini

Waislam waliotumiwa wakapambana kuhakikisha kikwete anashinda, na kweli akashinda

Nakumbuka wengi wa hawa waislam walisema tumpe mwislam mwenzetu kura kwa kuwa tu aliwaahidi mahakama ya kadhi, na pia kupinga kwa nguvu mgombea wa upinzani asipewe kura na waislam, kwa kuwa alikuwa mtumishi wa kanisa, na kwamba akiingia ikulu hawataipata mahakama ya kadhi ambayo waliahidiwa na Ccm kupitia ilani yao.

Baada ya kumpigania mtu wao na akashinda japo alipigiwa kura na pande zote za Dini, wakawa wanasubiri kwa hamu utekelezwaji wa ilani ya Ccm kuhusu mahakama ya kadhi waliyoahidiwa,

Serikali haikuwakatalia kuunda mahakama ya kadhi, Bali iliwataka waislamu waiunde wenyewe na sio kuihusisha na serikali, kwa kuwa serikali haina Dini!

Waislamu wale wakaja juu wakisema kama serikali haina Dini kwa nini mliliweka kwenye ilani ya Ccm

Mpaka Leo ndugu zangu waislam wana kinyongo lakini wameshasahau na maisha yanaendelea

My take

Ccm kila unapokaribia uchaguzi huja na kitu ambacho kitawabakiza madarakani

Hutumia hata Ukabila, Udini, kuhakikisha wanaendelea kuwa madarakani

Kwa sasa mbinu zimebadilika wanaitumia tume ya uchaguzi, police na hata wanajeshi hivi sasa ili kusalia madarakani

Tusiongopewe kwa kugawiwa, tishert, kofia na pesa mnasahau machungu mliyonayo,

Kwa sasa nchi inapitia hali ngumu ya kiuchumi kwa wananchi wake, yote haya inaonyesha serikali ya Ccm kutothamini wananchi wa Tanzania

Nawatakia heri ya mwaka mpya wa 2019 na kwa herini mwaka 2018

Eden kimario

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama mashehena sorry mashehe waliopo karibu na jiwe ni kina alhad na mwezake zubery unategemea nini?? Hao wakipewa maburungutu ya pesa live kwenye TV na pamoja nakusifiwa kwa umahiri wa kuchimba makaburi wao kwisha habari.
 
Nakumbuka vizuri ccm katika hali ya kutafuta kuendelea kuwa madarakani, waliwatumia baadhi ya waislam, wakapanga kwenye ilani yao enzi za kikwete akiwa mgombea kwamba, atawapatia mahakama ya kadhi endapo atashinda katika uchaguzi ulioonekana upinzani kuja kwa kasi nchini

Waislam waliotumiwa wakapambana kuhakikisha kikwete anashinda, na kweli akashinda

Nakumbuka wengi wa hawa waislam walisema tumpe mwislam mwenzetu kura kwa kuwa tu aliwaahidi mahakama ya kadhi, na pia kupinga kwa nguvu mgombea wa upinzani asipewe kura na waislam, kwa kuwa alikuwa mtumishi wa kanisa, na kwamba akiingia ikulu hawataipata mahakama ya kadhi ambayo waliahidiwa na Ccm kupitia ilani yao.

Baada ya kumpigania mtu wao na akashinda japo alipigiwa kura na pande zote za Dini, wakawa wanasubiri kwa hamu utekelezwaji wa ilani ya Ccm kuhusu mahakama ya kadhi waliyoahidiwa,

Serikali haikuwakatalia kuunda mahakama ya kadhi, Bali iliwataka waislamu waiunde wenyewe na sio kuihusisha na serikali, kwa kuwa serikali haina Dini!

Waislamu wale wakaja juu wakisema kama serikali haina Dini kwa nini mliliweka kwenye ilani ya Ccm

Mpaka Leo ndugu zangu waislam wana kinyongo lakini wameshasahau na maisha yanaendelea

My take

Ccm kila unapokaribia uchaguzi huja na kitu ambacho kitawabakiza madarakani

Hutumia hata Ukabila, Udini, kuhakikisha wanaendelea kuwa madarakani

Kwa sasa mbinu zimebadilika wanaitumia tume ya uchaguzi, police na hata wanajeshi hivi sasa ili kusalia madarakani

Tusiongopewe kwa kugawiwa, tishert, kofia na pesa mnasahau machungu mliyonayo,

Kwa sasa nchi inapitia hali ngumu ya kiuchumi kwa wananchi wake, yote haya inaonyesha serikali ya Ccm kutothamini wananchi wa Tanzania

Nawatakia heri ya mwaka mpya wa 2019 na kwa herini mwaka 2018

Eden kimario

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bwana Eden, mambo ya kadhi yanakuhusu nini?? waachie wenyewe
 
Hiyo kitu haitakiwi kabisa mashekhe......mtaharibu na kuigawa nchi..........na mkithubutu kuiharibu hii nchi.......basi mtahama nyie, sio sisi...

Yani kwa kifupi mtakula mkong'oto mpaka muone nchi chungu,,,,,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kitu haitakiwi kabisa mashekhe......mtaharibu na kuigawa nchi..........na mkithubutu kuiharibu hii nchi.......basi mtahama nyie, sio sisi...

Yani kwa kifupi mtakula mkong'oto mpaka muone nchi chungu,,,,,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajakatazwa kuanzisha mkuu, tatizo lao wanataka serikali iitambue hapo ndipo ugumu ulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom