Baada ya hizi sikukuu

Baada ya hizi sikukuu

Eminem jr

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2018
Posts
2,006
Reaction score
4,617
Kumbuka kuna maisha baada ya hizi sikukuu
so usikombe pesa yotee January tukaanza
kuangaliana kwa macho ya kutia huruma..

Wahuni wanakwambia wiki Hii ukijifanya
mwanaume wa shoka, January lazima ugeuke
rejeta
1. Breakfast - Maji
2. Lunch time - Maji
3. Dinner - Maji
 
Ha ha ha....
tapatalk_1545901387723.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom