Ndugu wana jf kwa ufupi naomba munisaidie kuwajua hawa wanaojiita SHAMAN wanajitangaza kwenye hii mitandao kundi LA watu gani au ndo jamii ya Freemason au illuminat
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumekuwa na tabia baadhi ya members humu JF kutuchukia sisi wenye akili na wenye utajiri kiasi flani. Hili nmeliona sana. Wakati sisi tunajishusha tunachangia hata threads zao wasijisikie vibaya...
Uchawi ulikuwepo, upo unafanyika saizi na utaendelea kuwepo hapa duniani.
Uchawi unaharibu maisha ya watu, unaharibu mahusiano ya watu wa karibu, unafabya watu waumwe magonjwa yasiyotibika...
Pamekuwa na upotoshaji mitandaoni kutokana taarifa zinazoenea juu ya usafirishaji wa Nyama ya mbuzi kutoka mwanza kwenda Dubai kwa ajili ya matumizi ya chakula kwa kutumia ndege ya shirika la...
Kwa mnaosikiliza leo tena ya clouds fm najua mnamsikia.
Uyu jamaa dah kweli wanaume wachache saan siku izi.uyu hamnazo yaan kujieleza hawezi, anaulizwa vitu full kuzunguka tu dah
Anyway ni part...
Mafuta na gesi ni nishati muhimu sana hapa duniani. Nchi zilizo endelea zina tafuta usiku na mchana mafuta na gesi, ili ziweze kujitegemea na kuwa na utoshelevu wa mafuta na gesi. Wenyewe...
Ni hapa Bamaga,Traffic wa kike alikuwa anajaribu kusimamisha gari kumbe lilikuwa nyuma ya msafara.
Pamoja na kumgonga, msafara haukusimama
Ndugu zangu, huyu mama alitusimamisha sisi tupishe...
Kuna taarifa kwamba Dreamliner 787 jana ilibeba shehena ya nyama ya mbuzi.
1. Je dreamliner imeanza route mpya ya dubai moja kwa moja mwanza just kupeleka mbuzi.
2. Je ni kweli kwamba dreamliner...
Kutendeana haki ni jambo la kiungwana tu ambalo ni wajibu wa kila mtu katika jamii iliyostaarabika. Hii ni bila kujali nafasi wala wadhifa wa mtu katika jamii husika.
Yapo mengi tunayoyashudia...
Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa kukijitokeza hali ya kutaharuki kwa chombo chetu cha bunge pale wananchi wanapotaja ama kuonyesha Udhaifu au madhaifu ya bunge letu,ipo mifano Mingi na...
Salamu Wakuu
Hivi hili jambo naona mimi tuu au tunasaidiana kuona ?
Magazeti mengi naona habari zake Kama wanatoa huku JF Au wanaozileta hapa jamvini ndiyo hao Waandishi wa magazeti yetu
Kuna...
Jumanne ijayo, Disemba 25 ,2018 ni sikukuu ya Krismasi. Wiki moja baadae ni Mwaka Mpya 2019. Hapo panaambatana na ada za watoto na makorokoro mengine lukuki. Kodi sitaki kuizungumzia sana, maana...
Wafanyakazi wa sekta binafsi waliofukuzwa kazi kabla ya umri wa kustaafu, wamefurika ofisi za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Sekta Binafsi na Isiyo Rasmi (NSSF), kudai fao la kujitoa.
Hali hiyo...
Kwa jinsi hali halisi ya abiria kuwa wengi sana nakusababisha magari kutojitosheleza hasa hasa katika stendi ya ubungo, unahisi tatizo ni nini?
1. Serikali
2. Wamiliki wa vyombo vya kusafiria
3...
Baba adaiwa kuua mwanawe kwa mapanga kumwibia nyama
HAZRA Mwasenga, mkazi wa Kitongoji cha Haduye Kijiji cha Iwala, Kata ya Itale wilayani Ileje, mkoani Songwe, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za...
Tanzania and Zanzibar: the perfect two-week travel itinerary
Wakati Wamarekani wakitoa angalizo feki kuhusu usalama Tanzania, mtandao maarufu duniani wa habari wa MSN na pia jarida maarufu...
VIDONDA vya tumbo ni mojawapo ya ishara za mwili kuanza kuishiwa maji, ni uharibifu wa kuta za ndani ya tumbo. Kwa maneno mengine, ni majeraha ndani ya tumbo.
Kwanini vidonda vya tumbo ni ishara...