Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

Zimmermann

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
2,789
1,231
Ni hapa Bamaga,Traffic wa kike alikuwa anajaribu kusimamisha gari kumbe lilikuwa nyuma ya msafara.



Pamoja na kumgonga, msafara haukusimama

Ndugu zangu, huyu mama alitusimamisha sisi tupishe msafara, tukaipisha na yeye akakaa pembeni, ulikua msafara wa magari zaidi ya 50 na yalikua speed kubwa tuu zikiwemo na ambulance.


Sasa huyu mama kosa lake pengine ni hili:

Alihisi kuna watu wameunga tela msafara wa jamaa so akawasimamisha mungu saidia alisimamisha gari 2 zilizokua in a very high speed. Bila ya kuangalia nyuma ya zile gari akaanza kuruhusu gari from Shekilango road na hapo ndipo Discovery 4 kama sio 3 ilipofika kwenye mataa ikiwa na speed kama 120 hivi ikashindwa kusimama na kutanua ili isigongane mna magari yanayo-cross from Shekilango.

Jinsi gani ambavyo kifo kinamuita mtu mama yule alikua upande wa TBC badala ya kua upande wa sinza so jamaa alichofanya ni kukwepa madaladala hamadi traffic huyu hapa jamaa akapita. Sasa sisi tulichokua tunakiona sekunde ya kwanza ni kua jamaa kapanda ukingo ya barabara na kusepa, ila baada ya sekunde kumi niligundua kua kuna tukio zaidi ya tulichokiona nikashuka as i was walking ndio nikaona kofia ya traffic akili ikanijia sasa na wala sikutaka kwenda kuona maana wanaotazama waliniashiria kua si kitu kizuri kutazama.

Ila nimejifunza kua maisha haya jamani hatujui lini ni siku yetu, yule mama nina uhakika kabisa hakujua kama angekutwa na lililomkuta.

Binafsi nimechukulia kama fundisho kwangu, sina mtazamo kama wa wachangiaji wengi wa juu yangu.

attachment.php

 
ninacho mlaumu kushindwa kumsimamisha israel na kumruhusu maisha aendelee..pfuuu..

RIP trafiki Jazba ndio kazi..
 
barabara ya bamaga haiko kisheria. ina njia tatu na zote zinaingiza na kutoa. mgeni pale lazima ugonge au ugongwe. mtu anashindwa apite kushoto au kulia. rip afande. mia
 
Hivi gari la msafara linaruhusiwa kuua. Uhai wa Binadamu na hizo protocali ipi ni bora?
Mazingira yanaonyesha kuwa huyo dereva wa msafara alimuona vizuri kabisa huyo dada Trafic. Nimehuzunika sana si muda mrefu ameniruhusu kupita nikitokea mwenge kwenda Sinza. R.I.P kamanda.
 
Hope alishapeleka hela za unga maanawanawambia nyumban waweke maji bila kujua hela ya unga wanapata saa ngap aaa jk yulleeee anaitafta mbwen nimepshana nae naamini utakuwa msafara wake wawe na adabu sio kila gari la kusimamisha kama wanavyosimamishwa usiku counter na mabosi wao wakilewa;;yaani n aibu waone hivi ;;;;usiku wanalewa mabosi wanawaingiza vyumba vyao wasio na adabu unakuta anawashka shka live we unasubiri kumtoa mwenzio
 
pole nying kwa wanandugu na familia ya WP huyo...aidha pia nguvu kaz imepotes kstsks utendaji wa polisi kwa kupungua kwa huyu mwana mama!! R.I.P WP...PC.......
 
Back
Top Bottom