Hili la Mbinga Mkurugenzi wa Saccos siyo jipu?

M

mkusi

New Member
Joined
Nov 29, 2016
Messages
2
Likes
1
Points
5
M

mkusi

New Member
Joined Nov 29, 2016
2 1 5
Kiukweli kuna mambo yanayokuwa yanaendelea nchi hii kwa baadhi ya waliopewa dhamana ya kutuongoza yanakatisha tamaa mfano hili jipu kukosa mtumbuaji Mbinga kurugenzi SACCOS ni SACCOS iliyo chini ya mkurugenzi cha kushangaza SACCOS hii imesitisha kutoa huduma na pesa zetu hazieleweke ziko wapi kila ukiwafuata.

Wanakuambia hawana pesa kila mwezi wanakusanya pesa kutoka kwa wanachama hizi pesa zinakwenda wapi? kiukweli kama serikali haitaanza kufuatilia hizi SACCOS inaweza baadaye ikaleta shida haiwezekani Mbinga kurugenzi inakusanya pesa nyingi sana kupitia wanachama wake halafu unaambiwa SACCOS haina pesa ya kulipa wanachama wake.
Haina uwezo tena hata wakutoa mikopo kwa wanachama wake pesa zinzkwenda wapi na kwa bahati mbaya Ruvuma sijuwi tunamkosi.

Ombi langu kwa mh Rais tunaomba utuletee Mh Paul Makonda angalau kwa mwenzi mmoja naamini haya ataweza kuyamaliza ila hawa waliopo sioni wanachokifanya
 
masanzu

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
607
Likes
134
Points
60
masanzu

masanzu

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
607 134 60
Kiukweli kuna mambo yanayokuwa yanaendelea nchi hii kwa baadhi ya waliopewa dhamana ya kutuongoza yanakatisha tamaa mfano hili jipu kukosa mtumbuaji Mbinga kurugenzi SACCOS ni SACCOS iliyo chini ya mkurugenzi cha kushangaza SACCOS hii imesitisha kutoa huduma na pesa zetu hazieleweke ziko wapi kila ukiwafuata.

Wanakuambia hawana pesa kila mwezi wanakusanya pesa kutoka kwa wanachama hizi pesa zinakwenda wapi? kiukweli kama serikali haitaanza kufuatilia hizi SACCOS inaweza baadaye ikaleta shida haiwezekani Mbinga kurugenzi inakusanya pesa nyingi sana kupitia wanachama wake halafu unaambiwa SACCOS haina pesa ya kulipa wanachama wake.
Haina uwezo tena hata wakutoa mikopo kwa wanachama wake pesa zinzkwenda wapi na kwa bahati mbaya Ruvuma sijuwi tunamkosi.

Ombi langu kwa mh Rais tunaomba utuletee Mh Paul Makonda angalau kwa mwenzi mmoja naamini haya ataweza kuyamaliza ila hawa waliopo sioni wanachokifanya
kwani tulipokuwa tunausikia ule wimbo ukiimbwa wataisoma no ulizani anaimbwiwa nani?samahani mkuu ninatania tu ila kiukweli inaboa kuna rafiki yangu anafanya kazi mbinga analalamika sana kuhusu hii saccos mpk kaamua kuandika barua wasitishe kumkata makato na kukoma kuwa mwanachama wa hii kiini macho leo anadai ni miezi mitano jamaa wanasema pesa hakuna kwa hili serikali walisipo liangalia kwa jicho la pekee linaweza leta maafa kwani kwa hali iliyopo sasa kunauwezekana wanaojitoa kuendelea kuwa wengi na pesa ya kuwalipa hakuna ngoja tuone hii move mwisho wake
 
M

mkusi

New Member
Joined
Nov 29, 2016
Messages
2
Likes
1
Points
5
M

mkusi

New Member
Joined Nov 29, 2016
2 1 5
kwani tulipokuwa tunausikia ule wimbo ukiimbwa wataisoma no ulizani anaimbwiwa nani?samahani mkuu ninatania tu ila kiukweli inaboa kuna rafiki yangu anafanya kazi mbinga analalamika sana kuhusu hii saccos mpk kaamua kuandika barua wasitishe kumkata makato na kukoma kuwa mwanachama wa hii kiini macho leo anadai ni miezi mitano jamaa wanasema pesa hakuna kwa hili serikali walisipo liangalia kwa jicho la pekee linaweza leta maafa kwani kwa hali iliyopo sasa kunauwezekana wanaojitoa kuendelea kuwa wengi na pesa ya kuwalipa hakuna ngoja tuone hii move mwisho wake
kweli mkuu hata siyo utani tunaisoma no bora hata huyo rafiki yako miezi mitano wengine hapa ni miezi 7 sasa toka kujitoa baada ya kuaona ni ubabaishaji tunadai pesa zetu walizo kuwa wanatukata ni pesa zetu wala hata hatuhitaji tena hiyo saccos yao ya kitapele
 
Forum statistics

Threads 1,275,064
Members 490,894
Posts 30,531,911