WAKULIMA zao la korosho mkoani Lindi wamelipwa Sh bilioni 85 wiki iliyopita kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB). Katika hatua nyingine, uhakiki wa mwisho wa malipo ya korosho mkoani Lindi...
Washambuliaji wawili walinaswa na camera za CCTV wakiingia kwenye jengo la hoteli
Watu tisa wametiwa mbaroni kuhusiana na shambulio dhidi ya hoteli ya kifahari mjini Nairobi, Kenya ambapo watu 21...
Ukiwa na mtoto uliyemzaa au mtoto wa dada yako, akabahatisha passport yako na kuifanya kuwa daftari la mazoezi kuandika avyotaka yeye utafanyaje maana, sasa ndio umefika uwanja wa ndege unataka...
Salaam TZ
Undugu umegawanyika ktk sehem nne
1. Kidini i.e kiimani
2. Nasaba/damu i.e kuzaliana
3. Eneo moja i.e kuzaliwa, kuhamia/kuishi
pamoja mda mref n.k
4. Lugha moja i.e ya kabila au taifa...
Wakati mashambulizi ya kigaidi yakiendelea kutikisa maeneo mbalimbali duniani ikiwamo nchi jirani ya Kenya huku kukiwa na angalizo kuwa huenda na Tanzania ikashambuliwa, jarida moja la kimataifa...
Mnasubiri mpaka Kangi Lugola aje kuwaambia muwakamate hawa wanaowauzia unga mateja wa hapa kituo cha darajani?
Ni aibu sana kwamba bado baadhi ya nyie polisi hamuelewi nini Rais Magufuli...
Wakuu habari zenu, ni matarajio yangu kua wote mpo salama kwa mwenye matatizo Mungu amjaalie aweze kuyatatua.
Straight to the topic....
Nimetoa fedha (kwa majaribio) kutoka katika skrill wallet...
Ni matumaini hamjambo,naomba kujulishwa kuhusu mchakato wa makadirio tra hadi kuchukua leseni mfano unamtaji wa tsh 2,000,000/= unahitaji kufungua uwakala.mfano mpesa na tigo.pesa ,je hutofautiana...
Habari zenu ndugu zangu, taharifa ya hapo juu ni kwamba kuna Appartments zipo mikocheni karibu na Mbalamwezi Beach zinatililisha maji machafu kuelekea beach, hawa jamaa kwa kweli wanahatarisha...
Hatimaye Baraza la Habari nchini Kenya ( MCK ) limelitaka Gazeti la Kigeni la New York Times kupitia Mwakilishi na Mwandishi wao aliyeko nchini Kenya upesi na haraka sana Kuondoa Picha mbaya (...
Habari,
Nimekuwa nikijiuliza Mara kadhaa hii n kutokana na tv ninayoitumia Mana Kuna sehemu ya YouTube, neflex, Yan app nyingi tuu hii ikimaanisha nikiwaconnected vizuri na internet naweza...
Momba/Dar. Watu wanne, wakazi wa Kijiji cha Nzoka, Wilaya ya Momba mkoani Songwe wamefariki dunia kwa ugonjwa wa kimeta.
Jumla ya watu 81 wameugua ugonjwa huo baada ya kula nyama ya ng’ombe...
Hakika ina kera sana!!!!
Ninapokuwa online, kuna matangazo yanaibuka pop-up from no where kwenye Display! , sija subscribe mahali popote! wala hizo huduma sijawahi omba.
Matangazo ni mengi...
Salaam TZ
Undugu umegawanyika ktk sehem nne
1. Kidini i.e kiimani
2. Nasaba/damu i.e kuzaliana
3. Eneo moja i.e kuzaliwa, kuhamia/kuishi
pamoja mda mref n.k
4. Lugha moja i.e ya kabila au taifa...
MAJI YA MAFURIKO YAKIPITA KWA KASI KANDO YA DARAJA LA MTO MAGOLE WILAYA YA KILOSA NA KUFANYA MATUMIZI YA BARABARA YA DODOMA-MOROGORO KUSHINDWA KUTUMIKA KUTOKANA NA MAFURIKO KUHARIBU MIUNDOMBINU YA...
Kama ni mfuatiliaji wa mambo utagundua kuwa kila penye US military base huwa hakuna utulivu wa kisiasa na amani imara. Lazima patatokea mivutano tu hata kama haitahusisha umwagaji damu. Lakini la...
Hii imetokeo leo katika kikao cha bunge la jumuiya ya Afrika mashariki kinachoendelea mjini Arusha...Wabunge wamegoma kupokea taarifa ya kamati ya fedha wakitaka waliohusika na ubadhirifu na...
binadamu wote ni sawa wapo wenye roho nzuli na wapo binadamu wenye roho mbaya zaidi sasa leo hebu tuangalie mambo ambayo huwafanya watu wengi haswa sisi ngozi nyeusi tuwe na roho mbayaaaaa...