Ni matumaini hamjambo,naomba kujulishwa kuhusu mchakato wa makadirio tra hadi kuchukua leseni mfano unamtaji wa tsh 2,000,000/= unahitaji kufungua uwakala.mfano mpesa na tigo.pesa ,je hutofautiana makadirio kimkoa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app