Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nikisema Pemba nakusudia kile kisiwa kilicholala juu ya mgongo wa bahari yenye kina kirefu cha maji yaani bahari ya Hindi,na sikusudii ule mji uitwao Pemba ulioko katika nchi ya Msumbiji. Pemba...
8 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakati unawakatia matangazo ya local channel na kusema hawapaswi kuzionyesha kwani ni za bure lakini waonyeshe TBC1 pekee watu walikushangaa lakini kama ilivyo Watz walinyamaza na kudharau. Leo...
1 Reactions
25 Replies
8K Views
Ebu chukulia mfano umetoka ukiwa na mkeo na mwanao, mmeenda sehemu kupunga upepo mkiwa watatu tu. Mkiwa mnaendelea kufurahi pamoja unapata wazo la kumpiga picha mwanao kwa ajili ya ukumbusho...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari ambazo zinatoka huko Mwanza zinazidi kuleta utata wa sakata la Polisi wa nane na wafanyabiashara watatu wanaoshikiliwa kwa uhujumu uchumi. Habari zinadhibitisha kuwa fedha taslimu...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Eneo husika na Viunga vyake vya Jirani + Kutokutii Kiapo = Mla Kiapo hadi Kifo / Umauti Hivi Siku hizi Visima vya Kijitonyama huko Kwenu nchini Tanzania vimeshajazwa Maji tofauti na hapo awali...
6 Reactions
110 Replies
22K Views
Madereva wanao endesha mbasi ya Kampuni mbalimbali nchini Tanzania yaendayo nyanda ya juu Kusini (Mbeya, Iringa), kutoka Dar es salaam leo Januari 19, 2019, wameamua kufuatana bila kuachana mpaka...
3 Reactions
21 Replies
12K Views
Ni za kupikia keki.. Nilimuuliza muuzaji online akanionyesha anazo hizo.. Nlichagua sababu zina maumbo tofauti. Basi kimbembe nlipoamua kueka mixture ya keki.inaleak taratiibu huku pembezoni...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamii wenzangu. Mimi ni mwanamke umri miaka 32. Mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na FURAHA. Tatizo hili limeanza miaka mingi sana nadhani tangu nikiwa mdogo sikumbuki...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Jana tarehe 19.01.2019 nikiwa maneo ya KDC Moshi, meta 100 tu kutoka ilipo Ikulu ndogo ya Moshi, lilipita kundi la vijana zaidi ya 16 wakiwa katika pikipiki nane wakienda mwendo wa kasi huku...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Wadau nimekaa na kupitia trends nyingi zinazoitia sintofaham taswira ya rais wetu nimegundua kwamba akikaa kimya anapendwa zaidi akiongea anatibua naomba wanaompangia ratiba ya matukio ya public...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baa zinakaa tupu awamu ya 5 tofauti na ilivyokuwa awamu ya 4. Ndiyo kusema wamekufa? Wameacha kunywa? Au ulevi wao unakidhiwa na ugali?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa wanandoa tu wanaojitambua, migogoro huimarisha sana ndoa na ndio kipindi lazima uelewe maana ya ndoa especially unapokuwa na watoto. Otherwise tulewe pombe tu maana ukiwaza kusaliti kipindi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mabibi na Mabwana wa JF, Naandika uzi huu hii ikiwa mara ya kwanza kabisa mimi kushare habari hii mahali popote. Sijawahi kumwambia mtu, hata familia yangu haijui kuhusu hili. Nalileta kwenu kwa...
6 Reactions
142 Replies
15K Views
Kuna sababu baadhi 50 kwanni mswada huu wa vyama vya siasa una tija kwa nchi yetu... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Ndugu wana jf. Salamu kwenu. Niende kwenye mada. Leo jumamosi tarehe 19. 01. 2019 nilipanda basi LA AL SAEDY lenye namba T 990 DGZ kutoka morogoro kwenda dar es salaam. Mnamo saa 10 alasiri basi...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba kujua 1.Safe za hela zinafananaje picha plz 2.Ramani za mabenki zinafanana Kama zinavyofanana zahanati za afya na nyumba za walimu 3.mbona bank manager hajifichi anaonekana wazi 4.Sare...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Baada ya zito kuwachokonoa hatimaye wale wabunge wa CCM maarufu kwa jina la "makasuku" leo kwa umoja wao wakiongozwa na "Kibajaji" wamejitokeza kumjibu Zito...kumbuka katika "press" yake ya...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wewe Bosi tangia mnaonana Saa 12 asubuhi hadi Saa 11 jioni Sura imekunjamana tu kwa hasira utadhani Nyati anataka Kujifungua na akikusemesha basi jua ni Ugomvi au kuna Tatizo umelifanya unadhani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
21st January, Kesho ni Birthday yangu, na Ndiyo siku ambayo tunasubiri jibu la kile kitendawili cha mihimili. Hivi hii 21 ina nini? Magaidi wamepoteza maisha ya ndugu zetu wakenya 21, Africa...
0 Reactions
3 Replies
928 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…