Tetesi: Rais wetu mh jpm anapendwa na anapendeza zaidi akikaa kimya kuliko akiongea utafiti wangu

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Wadau nimekaa na kupitia trends nyingi zinazoitia sintofaham taswira ya rais wetu nimegundua kwamba akikaa kimya anapendwa zaidi akiongea anatibua naomba wanaompangia ratiba ya matukio ya public waliangalie hili

Japo naelewa hawezi kukwepa matukio ya kipublic!!
 
Ameshasema hapangiwi....! Ni vema kuheshimu maamuzi yake

Jr
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mzee wa mizimu falasi mochwari na ulozi nimecheka Sana post yako

Sijampangia nimeshauri mkuuu mshana wahetu kula kaya thame
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom