Migogoro katika ndoa huimarisha sana ndoa!

Migogoro katika ndoa huimarisha sana ndoa!

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
3,547
Reaction score
2,181
Kwa wanandoa tu wanaojitambua, migogoro huimarisha sana ndoa na ndio kipindi lazima uelewe maana ya ndoa especially unapokuwa na watoto. Otherwise tulewe pombe tu maana ukiwaza kusaliti kipindi kigumu wewe ni zaidi ya Shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Migogoro huimarisha lakini isizidi sana.
 
Back
Top Bottom